Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 5,009
- 9,206
- Thread starter
- #21
Please follow me on twitter @janeth_lowassa
Kwahiyo kuleta hii picha ili watu wakufuate huko Twitter?Please follow me on twitter @janeth_lowassa
Akikujibu... Atakuwa kanjibu pia, maana ata mimi cjaelewaKwahiyo kuleta hii picha ili watu wakufuate huko Twitter?
ShukranSASA MBONA UMEWEKA KADOGO?
View attachment 1541317
Mtoto alikuwa analia kipindi jokate anataka kumbeba. Jokate akaamua kuweka hivyo mikono kama ishara ya kutombeba ili anyamaze na mtoto akatulia.. Si unajua rangi ya kijanj CCM vitoto hivi ni vi malaika vinaona mengi .. Jokate hana shida mtoto ndio analia akitaka kubebwa na Jokate ndio maana kaweka hivyo mikono


dah eti rangi ya kijani ya CCM mtoto ni malaika anaona nengi.Picha hii inazungumza mengi. Au mnasemaje wenzangu namna anamuonea KINYAA huyo mtotoView attachment 1541094
CCM WOTE MKO IVYOPicha hii inazungumza mengi. Au mnasemaje wenzangu namna anamuonea KINYAA huyo mtotoView attachment 1541094