Sijapata mwanamke aliyekidhi vigezo

Sijapata mwanamke aliyekidhi vigezo

mmh mkuu hapo kwenye red... mbona unaanza kunifanya nisite kufunguka kwa huyo mlimbwende. NIJITAYARISHE kwa lipi tena, jema au baya au changamoto? CC Preta

Umesahau kuwa kila penye nia pana hila........ujitayarishe nini.........labda kunywa mbege......na kesho ndio tunaizindua........leo tunaburudika na ulela........
 
Last edited by a moderator:
Me natamani kujua kwanini unaPrefer mwalimu au nesi...
 
Umesahau kuwa kila penye nia pana hila........ujitayarishe nini.........labda kunywa mbege......na kesho ndio tunaizindua........leo tunaburudika na ulela........

hahahahaa ama kweli binadamu wana hila sana. Jamaa kaona naanza kuweka nia, yeye kaanza kunitisha!! Preta huwa nakuelewa sana mama. Count me in.... now and forever!
 
hivi ktk hii katiba mpya kipengele cha Rais kuteua wabunge wa viti maalum kipo au kimeödolewa?
 
Braza nakushauri ww owa tu ukiandelea kuchagua chagua utachagua matatizo ni mara chache sana kupata mwenye vigezo unavyoitaji
 
mbona una haraka hivyo? haraka zako zitakuponza ndo maana ujapata ata unaokutana nao kazini, kanisani misikitini, sokoni sjui misele kihere here na haraka zako vitakuponza unatafuta mwenza kwa style hiyo
 
Back
Top Bottom