Mkuu, hiki Kitengo na TAKUKURU kwa kipindi hiki wanakula Kodi zetu bure tu hakuna wanachokifanya. Wauza unga wengi ni Wafanyabiashara. Na wafanyabiashara na CCM ni Pete na kidole. Watawekaje issue hiyo kwenye Ilani yao, wakati wakijua hawatakuwa na kauli yoyote?Walau wasingepitiwa na hili janga la taifa linaloangamiza kizazi cha kesho ambacho ndio nguvu kadi tegemewa ya taifa.
Je, ni kupitiwa ama kwakuwa wamehamanika?View attachment 3457124
Tanzania yetu nzuri, Ina kila kitu kasoro viongozi bora.