Omary Ndama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2017
- 3,367
- 4,056
Inawezekana we ni mtu mdogo Sana ndo maana huwajui au kuwaona...maana wanavaa Kama Askari wetu tu.
Na fuatilia historia ya aliepandishwa cheo TRA na mkuu kwenye sakata la mafuta!inaweza ikawa kweli au uongo maana humu kuna watu wa aina nyingi sana na wengine wapo ikulu na kutoa kwao hizo taarifa yaweza kuwa wanawaza usalama wetu upo mashakani au wanatoa Kwa mihemko.
pia kuna kisa sina kumbukumbu vizuri ni juu ya kikwete na raisi fulani aliewekaga pandikizi lake ikulu (hii habari ilikuwa humu ila sikuitilia maanani ila content ha hio habari iliendana na nilichoandika)
hao wanajeshi wanaweza vaa sare za jeshi let na tusiwatambue maana kama wapo watu wanatapeli Kwa kuvaa sare za majeshi yetu ata hao wanaweza fanya hivyo
naona sasa utaridhika kwasababu wizara yenyewe imetoa tamko na JWTZ nao wamesema...unalo lingineHuwez kuwaona kwa sababu huhusiki na masuala haya.
Mengine yapo juu ya uwezo wako
Hata kuyajadili hakutabatilisha kilichopo
Nakushauri ndugu yangu endelea na pilika pilika za maisha kwa ajili ya familia yako
Kuna taarifa zimekuwa zikienea katika mitandao sasa ni muda kuwa Ikulu ya Tanzania inalindwa na Wanajeshi kutoka nchi jirani ya Rwanda na sasa zimeibuka taarifa kuwa Ukuta uliojengwa juzi juzi tu huko Mererani mkoani Manyara eti unalindwa na wanajeshi kutoka Rwanda pia.
Kiukweli nimekuwa najaribu kuangalia walinzi wetu kutoka vyombo tofauti ya ulinzi na usalama wanavyoanya kazi za ulinzi katika maeneo tofauti hapa nchini sijawahi kuona wanajeshi kutoka nchi jirani ukiondoa wale wanaokuja mafunzo ya muda mrefu na mfupi katika vyuo vyetu vya kijeshi kama kule TMA.
Sasa hawa wanaotoa taarifa za kudanganya umma wa watanzania wanazitoa wapi taarifa hizo?
Lengo lao ni nini kutoa kusambaza taarifa kama hizo hapa nchini?
Tanzania tunajivunia na kuyaamini majeshi yetu ya ulinzi na usalama katika kutekeleza kazi zao za ulinzi wa wananchi na maliza na kulinda mipaka ya nchi 24/7.
Walaaniwe wote wanaotaka kuvunja amani ya Tanzania kwa njia yoyote ile.
So wewe ni msemaji wa JWTZ au?naona sasa utaridhika kwasababu wizara yenyewe imetoa tamko na JWTZ nao wamesema...unalo lingine
Jibu na mengine yaliyosaliaMbowe anawajua waliomchukua Ben Saanane maana taarifa yake mpaka leo ya kutoa taarifa Polisi imejaa utata mtupu.
Mwandishi mwenyewe anawajua ndiyo maana aliondoka nao mchana kweupe mbele ya kadamnasi na kwenda mpaka kuchukua funguo kwa mkewe shambani.
Watanzania wanaomiliki silaha isivyo halali ambao walikimbia na mpaka leo Polisi wanawatafuta.
Ni watanzania na wageni ambao wanauwawa na watu ndani ya nchi kwa siri kubwa kwa visa tofauti tofauti kisha kutwa huko baharini au mitoni.
wapi palikosema mimi ni msemaji wa Ikulu usilete mada ambazo hazipo.....toa ushahidi kuwa kuna wanyarwanda wanajeshi walinda ikulu na ukuta wa mererani kama mnavyosema mitaani kwenye mitandao?Kwanza kujifanya wewe ni msemaji wa Ikulu ni kosa kubwa sana.
Wako kibao.
Japo sio rahisi watu kukuwekea ushahidi humu. Watu royal ambao si watz ni muhimu sana kwa kujitengenezea kawigo
Hope, akiondoka nao watachapa nae rapa.
kwani wanakuwa na alama / jiongezeTuletee uthibitisho mimi siwaoni naona watanzania tu toka mikoa yote ya nchi yetu. Hao wanyarwanda wako wapi.
unajua maana ya kukazania ? empty head umwetmwa wewe si bure sasa basi kamwambie aliyekutuma hujanikuta..............nini kinakufanya ukazanie kuwa wapo
Nahisi wanalinda kwenye ndoto zaoKuna taarifa zimekuwa zikienea katika mitandao sasa ni muda kuwa Ikulu ya Tanzania inalindwa na Wanajeshi kutoka nchi jirani ya Rwanda na sasa zimeibuka taarifa kuwa Ukuta uliojengwa juzi juzi tu huko Mererani mkoani Manyara eti unalindwa na wanajeshi kutoka Rwanda pia.
Kiukweli nimekuwa najaribu kuangalia walinzi wetu kutoka vyombo tofauti ya ulinzi na usalama wanavyoanya kazi za ulinzi katika maeneo tofauti hapa nchini sijawahi kuona wanajeshi kutoka nchi jirani ukiondoa wale wanaokuja mafunzo ya muda mrefu na mfupi katika vyuo vyetu vya kijeshi kama kule TMA.
Sasa hawa wanaotoa taarifa za kudanganya umma wa watanzania wanazitoa wapi taarifa hizo?
Lengo lao ni nini kutoa kusambaza taarifa kama hizo hapa nchini?
Tanzania tunajivunia na kuyaamini majeshi yetu ya ulinzi na usalama katika kutekeleza kazi zao za ulinzi wa wananchi na maliza na kulinda mipaka ya nchi 24/7.
Walaaniwe wote wanaotaka kuvunja amani ya Tanzania kwa njia yoyote ile.
ukipata kitu usisite kutumegea na sisi huku jfNa fuatilia historia ya aliepandishwa cheo TRA na mkuu kwenye sakata la mafuta!
Wewe nanga ndiyo umepitia jeshi au mume wako ndiyo mjeshi??Ungepita Jeshi ungejua kwani vutani adui anauwawa....