Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,170
- 8,622
Hii ipo wazi kabisa. Hata Steven Wassira na ujanja wake wa kupangua hoja amekwama. Mfano Wassira anakiri kuwa ni kweli katiba ya JMT imekiukwa maana rais Samia ametumika zaidi ya miaka 3. Hili la utamaduni wa kumuachia aendelee ni kinyume na katiba ya JMT.
Mkuu wa mkoa wa Dar kuropoka kuwa faili la Slowslow analo Dc Magoti sio kujibu hoja za Polepole.
Rostam Azizi ndio kachemka kabisa. Kwa jinsi alivyo na Cv mbovu kwenye ufisadi uliofanyika hapa nchini. Hapaswi kumuota Polepole mtu wa siasa za kimaslahi.
Nani sasa anaweza kupangua haya madongo anayoporomoa huyu kijana?