Sijamwelewa wife jamani. ..

Sina hakika mkuu ingawa sio mpenzi wa Internet hata emails zake nyingi huwa namsaidia japo nimewahi kungusia juu ya hii site. Anyway tumezungumza nae na akaniambia hamna lolote ni hasira tuu zilimpata za kuona kwamba simwamini wakati yeye kwa miaka yato ameniamini na kuwa mwaminifu japo wakubwa wamekuwa wakimtaka kwa gharama kubwa. Hata hivyo mtoto nimezidi kumchunguza na mashaka yameongezeka japo nimemwonyesha wife i don care. Ntaenda kupima kwa siri tuu

Kweli kakwambia hivyo???Is she serious??????kwa maana hiyo anachojaribu kukwambia nini?Shemaji look very hoyo hatari?

Alishawahi klukwambia kuwa ku na maboss wake wanamtongoza na kumsumbua kabla ya hasira zake za juzi jioni?????

Jamani jamani kuwa makini na kengele ilie mara moja.
Kazi kwako ni yangu tu na mtazamao wangu
Asante
 
kwa nini uendelee kuteseka moyoni mwako? Una option ya kujua ukweli.Nayo ndiyo hiyo DNA. Ukishajua ukweli then ndipo utakajijua kama wewe wa kiume kweli au suruali tu especially vipimo vitakapoonyesha mtoto ni wa njemba ingine. Hapa utakuwa umepanua uwanja na uwezo wa kuhoji na kuamua utakavyo. Ukimwonea huruma ni sawa tu kwa sababu amekosa mbele yako na mbele ya Mwenyezi Mungu. You must face it bro. this way. Ukimtimua ni option pia,japo hutaweza kurepea the broken glass. Swala la kwamba atakutimua ni uoga au weakness ambayo pengine alishagundua unayo. Anaitumia hiyo nyumba kama silaha na sasa umeshajua, na bila shaka utaanza kulifanyia kazi ASP. Swala lingine challenging ni jinsi ya kuendelea kumpenda huyo mtoto. Unaweza ukafanya dhambi nyingine mbaya kwa kumchukia .Fikiria kama vile unadopt tu na hiyo ndio itakusaidia. Zaidi sana,upime kama unauwezo wa kuzaa ,maana from the face of it miaka 8 bila mtoto wa pili inaweza ikatia mashaka kwa rijali yoyote. Ukijua huna uwezo basi kuwa mpole na umshukuru Mungu kwa kukuumba alivyotaka yeye. Confict itakuwa imeisha bila shaka. Kama una uwezo wa kuzaa na DNA ikonyesha sio wako, basi uendelee kujua kuwa wanawake ndivyo walivyo.
 
Kweli kakwambia hivyo???Is she serious??????kwa maana hiyo anachojaribu kukwambia nini?Shemaji look very hoyo hatari?

Alishawahi klukwambia kuwa ku na maboss wake wanamtongoza na kumsumbua kabla ya hasira zake za juzi jioni?????

Jamani jamani kuwa makini na kengele ilie mara moja.
Kazi kwako ni yangu tu na mtazamao wangu
Asante

Nothin good like trust,
Alivyoniambia nilimwamini, at least now tumezungumza, yameisha, nimebakia kukamilisha mambo machache kwa upande wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom