Ndugu yangu joe5, kipi bora kati ya kujikopesha na KUIBA/KUFISADI? Mimi nadhani kama amejikpesha hilo ni jambo jema kwani atarudisha kuliko angeiba au kufisadi.
Pia ili kusiwe na double standard CDM waanzishe SACCOS kwa ajili ya staff wake tu ili kukabiliana na ukata wa maisha.
Hilo litapunguza rushwa au vitamaa vya hapa na pale kwani kila mtu anataka kiwanja au nyumba, gari na watoto wasome vizuri. Kukiwa na mikopo yenye riba nafuu ya nyumba, magari, elimu n.k itapunguza rushwa ya njaa.
Queen Esther[/QU
asante sana Queen Esther, walao ww umeelewa na umejibu kwa hoja,hv ndiyo JF ilivyotakiwa iwe.
tukirudi ktk post kinachogomba madai kwamba mkopo wake haukufata utaratibu na mazingira hayakuruhusu kwakuwa bado cdm haipati ruzuku ya kutosha kuendesha chana hata kufikisha mikoan na wilayani ushahidi ni harambee wanazofanya ktk M4C.sasa hapo ndo tunapohoji uadilifu wa babu hata km amekopa.
Gesi inaondoka mtwara ishachukuliwa na mafisadi. Tembo zaidi ya 60 wanakufa kila saa, madawa hakuna hospital, umeme siobwa uhakika. Vipi kijana unajadili masuala yasio na manufaa kwa nchi yako na kuacha hayo hayana jibu? Dai haki yako vinginevyo na wewe ni walewale mafisadi so hutuambii kitu.
wewe salia hizo ngonjera za kijuha kwaambie mapimbi wenzako wakina mtela.
Nawashangaa wale wanaomtaka agombee uraisi, Mikshfa yote hiyo
Mzee wa kulamba ruzuku
Mzee wa kuchumbia ......ke. za watu.
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
Shardcole hivi mbona unapenda kudhalilisha wazazi wako bure jukwaani? Naamini walikukuza kimaadili tofauti na ya watoto wa mitaani.
Basi kiamini kinyesi chako!
Dr.huwa hakurupuki. kama hujamwamini subiri punde utamwamini.
kaka asante kwa dharau zako mimi ni mwanachama wa chadema na sio shabiki na ndio maana nahoji uhalali wa kukopeshwa kwake na pasipo shaka maelezo ya nimeyaelewa.By the way nami nasikitika kuwa na mwanachadema kama wewe ambae badala ya kutoa hoja ya kueleweka unaishia kukashifu wenzako
Huko kunawaka moto na sasa kumeanza kwa Watoto tusubiri kwa Wazee maana mashabiki wamejaa ubishi na mitusi wakidhani Siasa ndio zinavyoendaNakubaliana na wewe 100% mkuu! Tatizo wanachama/wapenzi wengi wa chadema wanawaona viongozi wao (hasa Dr. Slaa) kama mungu mtu. Yaani ukiwakosoa kwa hoja unaonekana wewe ndio tatizo. Utatukanwa hapa mitusi ya kila aina. Kiukweli chama ambacho hakiwezi kuwakosoa ama kuwarekebisha viongozi wake hakifai kabisa kupata ridhaa ya kuongoza nchi. Chadema kina fursa ya kuchukua nafasi hii ya kuwa chama kikuu cha upinzani kuweza kuweka mifumo thabiti ya kiuongozi na kinidhamu. Mfumo ambao kiongozi/mwanachama yeyote, bila kujalisha cheo atatakiwa kufuata. Chama kiruhusu uwazi katika ku manage grievances za wanachama, hoja na dukuduku zijadiliwe na ziamuliwe kwa kufuata misingi chama ilichojiwekea. Chama kiruhusu hii misingi iwe tested.....viongozi wa juu waache uoga na ubabe usio na tija kwa chama. Chadema ikishindwa kuchukua hatua sahihi sasa, haitokuwa tofauti na CCM. Ndo maana sishangai Dr. Slaa leo hii anapoanza kujitetea kuwa kukopeshana hata CCM wanafanya. This is poor justification from him. Chadema inatakiwa kujibu hoja, na sio kukimbilia kufukuzana. Haiwezekani baadhi ya mikoa ikawa haipati pesa ya kuendeshea shughuli za chama, huku makao makuu wakitumia pesa za ruzuku kukopeshana. Moja kati ya majukumu ya chama cha siasa ni kuhakikisha kuwa kinajijenga, kama taasisi, chama hakiwezi kuanza kukopesha wafanyakazi wake huku bado hakiwezi kuendesha shughuli zake za msingi. Viongozi wa mikoa na wilaya kadhaa wa Chadema wamekuwa wakilalamika kuwa wanaendesha chama kwa hela za mifukoni mwao na hawapati chochote toka makao makuu kwa ajiri ya shughuli za chama za kila siku. Hapa chama kimepotoka, wanachama wa Chadema msipepese macho pembeni. Mwambieni ukweli Katibu Mkuu wenu, kama kweli mnampenda na mnakipenda chama chenu.
CAUGHT!Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.
Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.
Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.
Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa Mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.
Wasiwasi wa wanachama wengi ni kuwa hata mwizi wa ngómbe huanza na kuku! Je CDM inapata ruzuku TShs ngapi? (tuchukulie milion 200). Hivi mtu mmoja kukopa 140 zinabaki shs ngapi hapo? Je taratibu za mwanachama kukopa zinaruhusu kukopa? Na kama zipo, je ni kiwango gani kinaruhusiwa kwa kila mwanachama? Na kama hakuna kanuni ya kujikopesha kiwango kama hicho cha fedha hata hiyo milion 20, je mtu huyo anaitwaje?
Kusema kukopa ni girba tu kwani Chadema imekuwa upatu?
kaka asante kwa dharau zako mimi ni mwanachama wa chadema na sio shabiki na ndio maana nahoji uhalali wa kukopeshwa kwake na pasipo shaka maelezo ya nimeyaelewa.By the way nami nasikitika kuwa na mwanachadema kama wewe ambae badala ya kutoa hoja ya kueleweka unaishia kukashifu wenzako
Anachofanya ni kuhakikisha anaishi maisha ya ubunge wake mana mshahara anapata wa mbunge kwa hiyo hata marupurupu lazima yaendane na yale ya ubunge.
Ndugu yangu joe5, kipi bora kati ya kujikopesha na KUIBA/KUFISADI? Mimi nadhani kama amejikpesha hilo ni jambo jema kwani atarudisha kuliko angeiba au kufisadi.
Pia ili kusiwe na double standard CDM waanzishe SACCOS kwa ajili ya staff wake tu ili kukabiliana na ukata wa maisha.
Hilo litapunguza rushwa au vitamaa vya hapa na pale kwani kila mtu anataka kiwanja au nyumba, gari na watoto wasome vizuri. Kukiwa na mikopo yenye riba nafuu ya nyumba, magari, elimu n.k itapunguza rushwa ya njaa.
Queen Esther[/QU
asante sana Queen Esther, walao ww umeelewa na umejibu kwa hoja,hv ndiyo JF ilivyotakiwa iwe.
tukirudi ktk post kinachogomba madai kwamba mkopo wake haukufata utaratibu na mazingira hayakuruhusu kwakuwa bado cdm haipati ruzuku ya kutosha kuendesha chana hata kufikisha mikoan na wilayani ushahidi ni harambee wanazofanya ktk M4C.sasa hapo ndo tunapohoji uadilifu wa babu hata km amekopa.
Joe5, heshima ni kitu cha bure, sio kwa waliokuzaa tuu hata wanaokuzunguka. Mtu mzima akiongea maneno magumu juu yako na kama kweli ulimkosea yanakupata hakika. Dr. Slaa ni mtu mzima, kutumia muda mwingi kumchafua kwa kitu ulichokuja nacho ni kutafuta laana, tena laana hiyo itafuata na watoto wako kizazi cha tatu na cha nne hakika.
Mimi sio CDM lakini naamini ktk heshima, utu na imani ktk dini ninayoiamini. Turudi kwenye misingi tuliyolelewa nayo tunapowajadili viongozi. Hata wale wanaomchafua mwl. Nyerere waache kama kweli wanaamini heshima ni kitu cha bure.
Watoto wetu wanaposoma some of the posts wanaanzaa nao kutoheshimu historia ya nchi yetu na viongozi pia. Ushauri wangu, tupime maneno tunayotoa humu jukwaani. Hata kama ni propaganda basi ziwe na mipaka. Anayekutuma yeye anakaa pembeni wewe unaogelea ktk dimbwi la laana na mikosi.
Huu ni ushauri tuu wapendwa na Mungu awabariki ktk kulitazama na kulifanyia kazi.
Queen Esther
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.
Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.
Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.
Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa Mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.
Acheni usanii wa kitoto.Joe5, heshima ni kitu cha bure, sio kwa waliokuzaa tuu hata wanaokuzunguka. Mtu mzima akiongea maneno magumu juu yako na kama kweli ulimkosea yanakupata hakika. Dr. Slaa ni mtu mzima, kutumia muda mwingi kumchafua kwa kitu ulichokuja nacho ni kutafuta laana, tena laana hiyo itafuata na watoto wako kizazi cha tatu na cha nne hakika.
Mimi sio CDM lakini naamini ktk heshima, utu na imani ktk dini ninayoiamini. Turudi kwenye misingi tuliyolelewa nayo tunapowajadili viongozi. Hata wale wanaomchafua mwl. Nyerere waache kama kweli wanaamini heshima ni kitu cha bure.
Watoto wetu wanaposoma some of the posts wanaanzaa nao kutoheshimu historia ya nchi yetu na viongozi pia. Ushauri wangu, tupime maneno tunayotoa humu jukwaani. Hata kama ni propaganda basi ziwe na mipaka. Anayekutuma yeye anakaa pembeni wewe unaogelea ktk dimbwi la laana na mikosi.
Huu ni ushauri tuu wapendwa na Mungu awabariki ktk kulitazama na kulifanyia kazi.
Queen Esther
Tuna mafisadi sugu ndani ya CCM, kwa laana yenu wangekuwa wamekauka leo.
Ufisadi unapojitokeza CDM, wanafiki wanaamua kuwalaani waliolaumu ufisadi huo!!
Hii ni ajabu sana!
Mimi naenda mbali zaidi,
NAMPONGEZA DR SLA KWA KUINGIA LIST OF SHAME!