Hata wizi na mabinti nao ni UDHAIFU,hivi unajua kuwa PhD ya babu ni ya masuala ya dini a.k.a hekima ni sawa na sheikh Ponda leo ajiite Dr Ponda.Acha porojo BULICHEKA(JOE5) Nchi hii DHAIFU ni mmoja tu nae ni kilaza(aka bb RZ1) kwishiney.au umetishwa na udaktari mgando? shule ya udaktari haipo pale ni kopo/dafu tu limejaa methali nahau na mipasho.
Ninawashangaa pro Chadema kwa kutetea kila upuuzi wa viongozi wao,hivi leo ukimkosoa kiongozi wako utakuwa si mwanachama wa Chadema? mbona mnataka kuwafanya viongozi wenu kuwa miungu watu?
Acha uongo wewe,mara ya mwisho kuchangia M4C iilkuwa lini? wakati mwenyewe unamkimbia baba mwenye nyumba anakudai kodi yake.
Hata wizi na mabinti nao ni UDHAIFU,hivi unajua kuwa PhD ya babu ni ya masuala ya dini a.k.a hekima ni sawa na sheikh Ponda leo ajiite Dr Ponda.
CC Pro CDM
Kwa taarifa tu
Mimi sio mtoto mwenzio we binti, M4C inachangiwa wakati wowote kwa kuwa kuna namba za Mpesa. Kama ungekuwa na akili ungeanza kuhuzunikia na kuonea huruma hatima ya TEMBO wa nchi hii ambao Abdulahman Kinana akishirikiana na maghaidi wenzie toka Somalia wanawaua tembo kwa kasi ya ajabu. Siku hizi wanatumia wanajeshi wetu kuua tembo kwa kisingizio cha katibu mkuu wa chama tawala. Pia kuna ufisadi wa bomba la mafuta la mtwara ambako mafisadi wameongeza dola milioni 532 cha juu. We unalalamikia hela ambayo hujawahi kuchangia, nyie ndio huwa mnaolewa na kuachika kwa kuwa na msimamo. Mama Mingoi tunayemfaham sisi alikuwa na msimamo hasa linapokuja suala la kukata viuno pale Twanga Pepeta, sasa we sijui ni binti yake huna msimamo kabisa
Kweli kuna watu wana akili za mende kwani na wewe umeajiriwa na CHADEMA!? Mwajiri ye yote ana utaratibu wa kukopesha watumishi wake hivyo kama unataka mkopo kutoka CDM omba ajira kwanza!Kama kweli Dr.W.Slaa kakopa hata kama n sh 100000 sisapoti hilo jambo naomba atueleze;
na sie wanachama wengine huku mtwra na mahala pengne kama tunaweza kopa na zipi taratibu za kufuata ukitaka kukopa kwenye chama?
Nikiwa kama mwanachama wa chadema nimesikitishwa na suala hili.. Mikoa inakosa ruzuku
ufafanuzi
cc Tumaini Makene, Molemo
Hiyo ndio demokrasia au ulitaka waende mapadri tu na wachungaji?HIYO ipo ccm TU duniani na Prof wenu majimarefu .''chamasumu kweli janga la TAIFA'' kupeleka mpiga RAMLI mpaka bungeni.mmlogwa?watu wana sajili wasomi nyi m-meng'ang'ana na wachawi.
Kama kweli Dr.W.Slaa kakopa hata kama n sh 100000 sisapoti hilo jambo naomba atueleze;
na sie wanachama wengine huku mtwra na mahala pengne kama tunaweza kopa na zipi taratibu za kufuata ukitaka kukopa kwenye chama?
Nikiwa kama mwanachama wa chadema nimesikitishwa na suala hili.. Mikoa inakosa ruzuku
ufafanuzi
cc Tumaini Makene, Molemo
Wanavuna halafu wanatorosha eeh. Nyie CCM hamjui kuwa biashara ya meno ya tembo imepigwa marufuku dunia nzima. Katibu mkuu wenu Kinana anapata wapi ujasiri wa kufanya biashara hiyo halafu anawadanganya tembo wanavunwa kama mahindi. Unajua tembo anazaa baada ya miaka mingapi? Kila mara Kinana anapoua Tembo mmoja inahitajika miaka minne kuzaliwa mwingine kwa mama yake. Ule mzigo wa kinana uliokamatwa juzi Nairobi ulikuwa wa Tembo 320, hata kama ni kutafuta hela ya uchaguzi 2015 CCM ingetumia njia nyingine. 2015 tutabakiwa na picha ya Tembo tu na tshirt na kofia za kijaniTembo wanavunwa kama mazao mengine au haujui tukueleweshe.
Basi kiamini kinyesi chako!
Fedha hizo ni moja ya mapato ya chama na zinatumika kwa mujibu wa mipango ya chama! Moja ya mipango ya chama ni kuwakopesha watumishi wake kama ambavyo serikali na mashirika mbalimbali yanakopesha watumishi wao!Hivi moja ya matumizi ya ruzuku za vyama siasa ni kujikopesha kwa matumizi binafsi?
CC Tendwa,Utoh
Ukiwa na Dr Mingoi chumba cha sindano jaribu kuvumilia maumivu wenzako wameshazoea wewe kelele na matusi ya nini? Unajitafutia ban bure wakati mimi nataka kukutibu kansa.,Mwizi na mbabe mkubwa wa mabinti nchi hii ni DHAIFU mpaka anapeleka watu gerezani kisa uchi?,na HIYO ipo ccm TU duniani kwa kusaidiwa na Prof wenu maji-NDEFU .''chamasumu kweli janga la TAIFA'' kupeleka mpiga RAMLI mpaka bungeni.mmelogwa?watu wana sajili wasomi nyi m-meng'ang'ana na wachawi.
Unaweza kuja na utaratibu,takwimu za waliokopa tayari,vigezo na kanuni ipi ya fedha za serikali?Fedha hizo ni moja ya mapato ya chama na zinatumika kwa mujibu wa mipango ya chama! Moja ya mipango ya chama ni kuwakopesha watumishi wake kama ambavyo serikali na mashirika mbalimbali yanakopesha watumishi wao!
Tembo wanavunwa kama mazao mengine au haujui tukueleweshe.
Mkopo wa slaa una madhara gani kwa taifa? Wewe una interest gani na matumizi binafsi ya CHADEMA? Kama chama na viongozi wake wameridhia akopeshwe wewe shida yako ni nini? Au wewe ndiyo mpanga matumizi ya hela ya ruzuku ya CHADEMA?Kusema kukopa ni girba tu kwani Chadema imekuwa upatu?
jenga hoja mingoi mawaswala ya baba mwenye nyumba yamekuja wap kwani hii tarabu au mipasho tuliza ubongo sio unaleta nyimbo zako za kipwani cdm haiwezi sambaratishwa na propaganda za ccm na vibaraka wake kama nyinyiAcha uongo wewe,mara ya mwisho kuchangia M4C iilkuwa lini? wakati mwenyewe unamkimbia baba mwenye nyumba anakudai kodi yake.
Binti.com hawa wataagaika mno, wanashindwa kumuuliza kinana lini atarudisha pembe za ndovu wetu.Kwani hata kama amekopa milioni 140 ni kosa? Kosa ni kuiba siyo kukopa ndugu!
Tembo wanavunwa kama mazao mengine au haujui tukueleweshe.
Kikao gani kiliridhia? kumbuka hizi pesa si za Chadema na kuna utaratibu rasmi uliowekwa na serikali na chama husika kukubali kuufuata kwa mujiibu wa sheria ya usajili wa vyama vya siasa.Mkopo wa slaa una madhara gani kwa taifa? Wewe una interest gani na matumizi binafsi ya CHADEMA? Kama chama na viongozi wake wameridhia akopeshwe wewe shida yako ni nini? Au wewe ndiyo mpanga matumizi ya hela ya ruzuku ya CHADEMA?