MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 793
Yani 20m ni vijisenti vidogo sana vyakumnanga mtu namna hiyo eti hatma ?ya 20mambayio hata mimi namlipia hahahahahahhahaah maskini utawajua tu kitu gani hii yauumiza kicha nakufungulia thread lol
HATIMAE SLAA AKIRI KUJIKOPESHA
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.
Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.
Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.
Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa Mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.
Hivi shonza hakua muongo!!! mungu ambariki sana dada wa watu.
kujichotea huku milioni 2o za chadema kumemshushia sana hadhi Slaa na kuonekana kumbe wote waliokulia ccm ni wezi pia
ameshindwa kupita kwenye nyayo za umasikini wa wafuasi wake???? anatafuta utajiri wa nini???
maswali ya kijinga haya.hivi ni kazi gani hapa duniani isiyo na malipo.!