Nimeona ktk habari kwamba katibu mkuu wa CDM daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20. Lakin niseme kweli sijamwamin kwakuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofaut na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka, meambiwa na inzi kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa mungu na aonyeshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.
Kusema kukopa ni girba tu kwani Chadema imekuwa upatu?Kwani hata kama amekopa milioni 140 ni kosa? Kosa ni kuiba siyo kukopa ndugu!
Ficha upumbavu wako wewe mwanamke, CDM inachangiwa na sisi wana M4C hela nyingi kuliko ya ruzuku. Sisi tunaochangia tumetulia tuli katibu mkuu afanye kazi, halafu nyie zumbukuku ambao kila siku mnaiombea njaa CDM isambaratike ili muepuke jela, ndo mnajifanya mna uchungu na hela za CDM.Hivi moja ya matumizi ya ruzuku za vyama siasa ni kujikopesha kwa matumizi binafsi?
CC Tendwa,Utoh
Nimeona ktk habari kwamba katibu mkuu wa CDM daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20. Lakin niseme kweli sijamwamin kwakuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofaut na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka, meambiwa na inzi kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa mungu na aonyeshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.
Kama kweli Dr.W.Slaa kakopa hata kama n sh 100000 sisapoti hilo jambo naomba atueleze;
na sie wanachama wengine huku mtwra na mahala pengne kama tunaweza kopa na zipi taratibu za kufuata ukitaka kukopa kwenye chama?
Acha uongo wewe,mara ya mwisho kuchangia M4C iilkuwa lini? wakati mwenyewe unamkimbia baba mwenye nyumba anakudai kodi yake.Ficha upumbavu wako wewe mwanamke, CDM inachangiwa na sisi wana M4C hela nyingi kuliko ya ruzuku. Sisi tunaochangia tumetulia tuli katibu mkuu afanye kazi, halafu nyie zumbukuku ambao kila siku mnaiombea njaa CDM isambaratike ili muepuke jela, ndo mnajifanya mna uchungu na hela za CDM.
Ungekua mwanachama kweli ungeshaujua utaratibu, ulizia kwa katibu wako wa chama atakupa utaratibu wa kufuatwa....
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.
Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.
Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.
Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa Mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.
hakika kaka hili sikulijua na mimi ni mwanachama hai wa chadema.. Labda kwakuwa kwangu mkoani huku mtwara ndio maana sifahamu kama kwenye chama kuna kukopeshana.
Na hakika hili hata huyo katibu wangu wa mkoa unaesema ni muulize hawezi kuwa na info nalo;
by the way nitamuuliza asante kwa ufafanuzi wako
Kwani hata kama amekopa milioni 140 ni kosa? Kosa ni kuiba siyo kukopa ndugu!
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.
Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.
Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.
Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa Mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.
Gari la serikali lapinduka likiwa na meno ya Tembo manyara kibaoni
Gari Land cruser VX limepinduka leo usiku saa saba Maeneo ya manyara kibaoni likiwa na meno 3 ya tembo gari hilo lina namba kwenye vioo STK 3216 kwenye sehemu ya plate namba mbele ni JW namba zimefutika na nyuma ni T164APZ watu waliokuwa kwenye gari hilo wamekimbia.Huu mtandao wa kuuwa Tembo inaonekana upo serikalini.