Sijamwamini SLAA..

Sijamwamini SLAA..

Dr. Ndimu

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
717
Reaction score
146
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.

Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.

Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.

Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa Mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.
 
Gesi inaondoka mtwara ishachukuliwa na mafisadi. Tembo zaidi ya 60 wanakufa kila saa, madawa hakuna hospital, umeme siobwa uhakika. Vipi kijana unajadili masuala yasio na manufaa kwa nchi yako na kuacha hayo hayana jibu? Dai haki yako vinginevyo na wewe ni walewale mafisadi so hutuambii kitu.
 
Wewe ni gamba tu.Pole sana.Leta hoja ya maana.
Nimeona ktk habari kwamba katibu mkuu wa CDM daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20. Lakin niseme kweli sijamwamin kwakuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofaut na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka, meambiwa na inzi kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa mungu na aonyeshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.
 
Kama kweli Dr.W.Slaa kakopa hata kama n sh 100000 sisapoti hilo jambo naomba atueleze;

na sie wanachama wengine huku mtwra na mahala pengne kama tunaweza kopa na zipi taratibu za kufuata ukitaka kukopa kwenye chama?

Nikiwa kama mwanachama wa chadema nimesikitishwa na suala hili.. Mikoa inakosa ruzuku

ufafanuzi
cc Tumaini Makene, Molemo
 
Last edited by a moderator:
Hivi moja ya matumizi ya ruzuku za vyama siasa ni kujikopesha kwa matumizi binafsi?

CC Tendwa,Utoh
Ficha upumbavu wako wewe mwanamke, CDM inachangiwa na sisi wana M4C hela nyingi kuliko ya ruzuku. Sisi tunaochangia tumetulia tuli katibu mkuu afanye kazi, halafu nyie zumbukuku ambao kila siku mnaiombea njaa CDM isambaratike ili muepuke jela, ndo mnajifanya mna uchungu na hela za CDM.
 
Nimeona ktk habari kwamba katibu mkuu wa CDM daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20. Lakin niseme kweli sijamwamin kwakuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofaut na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka, meambiwa na inzi kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa mungu na aonyeshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.

Kwani usipomuamini wewe unafikiri ukweli utafutika? Kuhusu kukopa hata ccm wana utaratibu huo wa kuwa na revolving fund kwa ajili,ya kuwakopesha watumishimwake, jua kuwa benki hazikopeshi vyama vya siasa sababu haviko reliable na watumishimke wanaweza kuwepo,leo kesho hawapo,hivyo kuwa ni risk kukopeshabtaasisi ya aina hiyo.

Kuwa amechukua muda mrefu ,ulitaka ajibu huu umbeya wa Shonza na wenzake ! Hii alipaswa kuijibu mkurugenzi wa fedha kwani sio vizuri mtu kujitetea mwenyewe ,waandishi muulizeni Komu.
 
Kama kweli Dr.W.Slaa kakopa hata kama n sh 100000 sisapoti hilo jambo naomba atueleze;

na sie wanachama wengine huku mtwra na mahala pengne kama tunaweza kopa na zipi taratibu za kufuata ukitaka kukopa kwenye chama?

Ungekua mwanachama kweli ungeshaujua utaratibu, ulizia kwa katibu wako wa chama atakupa utaratibu wa kufuatwa....
 
Last edited by a moderator:
Ficha upumbavu wako wewe mwanamke, CDM inachangiwa na sisi wana M4C hela nyingi kuliko ya ruzuku. Sisi tunaochangia tumetulia tuli katibu mkuu afanye kazi, halafu nyie zumbukuku ambao kila siku mnaiombea njaa CDM isambaratike ili muepuke jela, ndo mnajifanya mna uchungu na hela za CDM.
Acha uongo wewe,mara ya mwisho kuchangia M4C iilkuwa lini? wakati mwenyewe unamkimbia baba mwenye nyumba anakudai kodi yake.
 
Ungekua mwanachama kweli ungeshaujua utaratibu, ulizia kwa katibu wako wa chama atakupa utaratibu wa kufuatwa....

hakika kaka hili sikulijua na mimi ni mwanachama hai wa chadema.. Labda kwakuwa kwangu mkoani huku mtwara ndio maana sifahamu kama kwenye chama kuna kukopeshana.

Na hakika hili hata huyo katibu wangu wa mkoa unaesema ni muulize hawezi kuwa na info nalo;
by the way nitamuuliza asante kwa ufafanuzi wako
 
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.

Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.

Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.

Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa Mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.

Acha porojo BULICHEKA(JOE5) Nchi hii DHAIFU ni mmoja tu nae ni kilaza(aka bb RZ1) kwishiney.au umetishwa na udaktari mgando? shule ya udaktari haipo pale ni kopo/dafu tu limejaa methali nahau na mipasho.
 
Ninawashangaa pro Chadema kwa kutetea kila upuuzi wa viongozi wao,hivi leo ukimkosoa kiongozi wako utakuwa si mwanachama wa Chadema? mbona mnataka kuwafanya viongozi wenu kuwa miungu watu?
 
hakika kaka hili sikulijua na mimi ni mwanachama hai wa chadema.. Labda kwakuwa kwangu mkoani huku mtwara ndio maana sifahamu kama kwenye chama kuna kukopeshana.

Na hakika hili hata huyo katibu wangu wa mkoa unaesema ni muulize hawezi kuwa na info nalo;
by the way nitamuuliza asante kwa ufafanuzi wako

Mwamtafuta DHAIFU yupi hali ya kuwa DHAIFU ni mmoja tu TZ! nae ni kilaza?
 
Kwani hata kama amekopa milioni 140 ni kosa? Kosa ni kuiba siyo kukopa ndugu!

suala hapa kachukua au kajikopesha kinyemela pesa za walipakodi milioni 140.kwa matumizi binafsi halafu anageuka na kusema,'nimechukua million 20 tu.
 
Nimeona katika habari kwamba katibu mkuu wa CHADEMA daktari Slaa amejitetea kwamba hakuchukua mkopo wa milion 140 badala yake alikopa milion 20.

Lakin niseme kweli sijamwamini kwa kuwa ametumia muda mrefu sana kujibu tuhuma hii tofauti na kawaida yake ya kutoa matamko ya mambo kwa haraka na mara nyingine kukurupuka.

Nimeambiwa kwamba mpango ulikuwa akatae hakukopa ila bdae wakastuka kuna watu wanajua kwa uhakika alikopa wakaona wapunguze kiasi japo bado mkopo wake haukufuata taratibu na uwezo wa chama hauruhusu kujikopesha hata milion5.

Napata wasiwasi na credibility yake kwakweli na katika hili amekwama na kwakuwa amewahi kuwa mtumishi wa Mungu na aoneshe mfano kwa kujitokeza mbele ya umma na kukiri udhaifu ktk hilo.

Ukisoma hii na mengineyo utamwamini.

Gari la serikali lapinduka likiwa na meno ya Tembo manyara kibaoni

Gari Land cruser VX limepinduka leo usiku saa saba Maeneo ya manyara kibaoni likiwa na meno 3 ya tembo gari hilo lina namba kwenye vioo STK 3216 kwenye sehemu ya plate namba mbele ni JW namba zimefutika na nyuma ni T164APZ watu waliokuwa kwenye gari hilo wamekimbia.Huu mtandao wa kuuwa Tembo inaonekana upo serikalini.
 
Back
Top Bottom