Jifanye mlokole jamaa anaenda kumtindua mtaroWandugu habari zenu, napitia wakati mgumu kimaisha na mke WANGU kwakweli nimeishi nae miaka 17 bila shida yeyote lakini hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana. Wiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda na kulala hadi kesho yake!
Nikamruhusu kwa roho safi lakini soku moja kabla akanips taarifa hatoweza kwenda kwakuwa wametakiwa wabaki kazini kwani mkuu wao anakuja hivyo safar ikafa, Jana nikampa taarifa ya kuwa Jumapili ijayo tunatakiwa kwenda kumuona mtoto shuleni kwani ni siku ya shukrani kwa watoto kufanya vizuri kwenye mitihani yao, akasema imekuwa vzr kuwa this Sunday kwn next Saturday wanakwenda kiofisi mbuga za mikumi ambako wanalala huko huko, nishtuka ingawa sikujionyesha kwa haraka then nikauliza ni kiofisi akajibu hapana wameji organise, nilivyopinga hiyo safari hapo Moto uliwaka aiseee!!! baada ya kutafakri sananimeamua ni vema mimi nimuache aendelee na mambo yake nami nikaanze maisha kwingine!
Nakaribisha ushauri
Unajua story za humu zinazofichua maovu ya wanawake mmh mwanaume lazima ujifikirie mara 3, baada ya miezi 2 atasema ana mimba yako 😂 kumbe mimba imetoka mikumiAnapenda kupakwa wese ndo maana anafunga safari, tena kwa kudanganya. Hata hivyo, mtu aliyeishi kwa ndoa for almost 20yrs atakuwa ameshaanza kupata fibrosis. Narudia tena, muache aende.
Masikiniiiii ...Taifa kimejaa wanaume wazembe, wanaume walouacha Uanaume wao
KATAA NDOA 🤣Masikiniiiii ...Taifa kimejaa wanaume wazembe, wanaume walouacha Uanaume wao 😂😂
Sasa wanaume ,wanasingizia Wanawake .
Kizazi kimepoteza ungangari wa wanaume😂😂
Acha kuchagua sana, ina maana Kati ya wanaume wote waliowahi kukutongoza, hakuna hata mmoja ambaye anataka kukuoa KelseaHayo utajua wewe, mie nikipata wa kunioa naolewa.
Lkn sio mbugani kule watampakua Sana akatae Bora apakuliwe lodge za karibuKama ni wa kuchepuka atachepuka tu
KATAA NDOA kwa HERUFI KUBWAKATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
Yaani tule viapo halafu mwisho wa siku tuanze kucheat si bora usifunge ndoa
Kwan uliye naye siyo kukuoa[emoji847]Hayo utajua wewe, mie nikipata wa kunioa naolewa.
Wandugu habari zenu, napitia wakati mgumu kimaisha na mke WANGU kwakweli nimeishi nae miaka 17 bila shida yeyote lakini hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana. Wiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda na kulala hadi kesho yake!
Nikamruhusu kwa roho safi lakini soku moja kabla akanips taarifa hatoweza kwenda kwakuwa wametakiwa wabaki kazini kwani mkuu wao anakuja hivyo safar ikafa, Jana nikampa taarifa ya kuwa Jumapili ijayo tunatakiwa kwenda kumuona mtoto shuleni kwani ni siku ya shukrani kwa watoto kufanya vizuri kwenye mitihani yao, akasema imekuwa vzr kuwa this Sunday kwn next Saturday wanakwenda kiofisi mbuga za mikumi ambako wanalala huko huko, nishtuka ingawa sikujionyesha kwa haraka then nikauliza ni kiofisi akajibu hapana wameji organise, nilivyopinga hiyo safari hapo Moto uliwaka aiseee!!! baada ya kutafakri sananimeamua ni vema mimi nimuache aendelee na mambo yake nami nikaanze maisha kwingine!
Nakaribisha ushauri
Huyu tuna muda mchache sana kwenye mahusiano, hatuwez kimbilia ndoa mapema hivi.
Sasa kama una mtu kwa mahusiano y utoe neno yakuwa ukipata wa kukuona utaolewa naye je huyo uliye naye atafikir nini[emoji849]Huyu tuna muda mchache sana kwenye mahusiano, hatuwez kimbilia ndoa mapema hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikupata tunaeendana. Alafu msikariri mwanamke akiwa hajaolewa eti anachagua sana kuna sababu nyingi mbali na hilo. Pia wanaume wanaweza kuwa wanakuja wengi ila waoaji hakuna so msikariri.Acha kuchagua sana, ina maana Kati ya wanaume wote waliowahi kukutongoza, hakuna hata mmoja ambaye anataka kukuoa Kelsea
Sababu sijajua kama ni yeye atanioa ama vipi. Unaweza kuwa na mtu lkn kama hana muelekeo unaoutaka unahama.Sasa kama una mtu kwa mahusiano y utoe neno yakuwa ukipata wa kukuona utaolewa naye je huyo uliye naye atafikir nini[emoji849]
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app