Tafuta atakaye kuwa anakuliwaza, huyu wa sasa achana naeWandugu habari zenu, napitia wakati mgumu kimaisha na mke WANGU kwakweli nimeishi nae miaka 17 bila shida yeyote lakini hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana.Wiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda na kulala hadi kesho yake! nikamruhusu kwa roho safi lakini soku moja kabla akanips taarifa hatoweza kwenda kwakuwa wametakiwa wabaki kazini kwani mkuu wao anakuja hivyo safar ikafa, Jana nikampa taarifa ya kuwa jumapili ijayo tunatakiwa kwenda kumuona mtoto shuleni kwani ni siku ya shukrani kwa watoto kufanya vzr kwenye mitihani yao, akasema imekuwa vzr kuwa this Sunday kwn next Saturday wanakwenda kiofisi mbuga za mikumi ambako wanalala huko huko, nishtuka ingawa sikujionyesha kwa haraka then nikauliza ni kiofisi akajibu hapana wameji organise, nilivyopinga hiyo safari hapo Moto uliwaka aiseee!!! baada ya kutafakri sananimeamua ni vema mimi nimuache aendelee na mambo yake nami nikaanze maisha kwingine! nakaribisha ushauri
Akiona yuko busy na simu au yuko makini sana na simu yake na hataki mwingine ajue anachofanya ajue tayariUsihukumu mapema, kabla ya yote,
Fuatilia mawasiliano yake ujiridhishe
Huyo mkeo ana kibenten chake kinampelekesha na ameshaona wewe huna kauli kwake,nahisi pia amekuzidi kipato ndio maana,sababu hakuna kikoba wanacholala huko huko maana asilimia kubwa ya wanawake huko wanafamilia zao na wanaheshimu ndoa zao.Wandugu habari zenu, napitia wakati mgumu kimaisha na mke WANGU kwakweli nimeishi nae miaka 17 bila shida yeyote lakini hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana. Wiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda na kulala hadi kesho yake!
Nikamruhusu kwa roho safi lakini soku moja kabla akanips taarifa hatoweza kwenda kwakuwa wametakiwa wabaki kazini kwani mkuu wao anakuja hivyo safar ikafa, Jana nikampa taarifa ya kuwa Jumapili ijayo tunatakiwa kwenda kumuona mtoto shuleni kwani ni siku ya shukrani kwa watoto kufanya vizuri kwenye mitihani yao, akasema imekuwa vzr kuwa this Sunday kwn next Saturday wanakwenda kiofisi mbuga za mikumi ambako wanalala huko huko, nishtuka ingawa sikujionyesha kwa haraka then nikauliza ni kiofisi akajibu hapana wameji organise, nilivyopinga hiyo safari hapo Moto uliwaka aiseee!!! baada ya kutafakri sananimeamua ni vema mimi nimuache aendelee na mambo yake nami nikaanze maisha kwingine!
Nakaribisha ushauri
KATAA NDOA
NDOA NI WIZI
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
KATAA NDOA
NDOA NI USANII
LINDA AFYA YAKO YA AKILI KATAA NDOA
Kazi anafanyia mkoa tofauti na ulipo??Wandugu habari zenu, napitia wakati mgumu kimaisha na mke WANGU kwakweli nimeishi nae miaka 17 bila shida yeyote lakini hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana. Wiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda na kulala hadi kesho yake!
Nikamruhusu kwa roho safi lakini soku moja kabla akanips taarifa hatoweza kwenda kwakuwa wametakiwa wabaki kazini kwani mkuu wao anakuja hivyo safar ikafa, Jana nikampa taarifa ya kuwa Jumapili ijayo tunatakiwa kwenda kumuona mtoto shuleni kwani ni siku ya shukrani kwa watoto kufanya vizuri kwenye mitihani yao, akasema imekuwa vzr kuwa this Sunday kwn next Saturday wanakwenda kiofisi mbuga za mikumi ambako wanalala huko huko, nishtuka ingawa sikujionyesha kwa haraka then nikauliza ni kiofisi akajibu hapana wameji organise, nilivyopinga hiyo safari hapo Moto uliwaka aiseee!!! baada ya kutafakri sananimeamua ni vema mimi nimuache aendelee na mambo yake nami nikaanze maisha kwingine!
Nakaribisha ushauri
Haya maswali yote ni ya kazi gani? Mwanamke anayejitambua kwanza ataomba ridhaa ya mume wake kabla hata hajawaambia wenzake kuwa ataenda au hatokwenda kisha atasikiliza jibu la mume wake.Mkuu, wacha presha.
Mwambie akupe itinnerary yoote, sehem wanayoenda, wanaenda wangapi, utaratibu wa kulala ukoje n.k.
One day before safari yao, usiku sana unamwambia tu wazi kua na wewe unaenda mikumi kwenye mapumziko. Haez kukukataza. Bas na we unaenda unakua unawaangalia ili uone kama ni ofisi au ni li msela linaenda kumkamua mafuta
Wewe jamaa una akili sana..ukiamua kusepa mapema ni kuwa unakuwa umeyaepuka mateso ya roho ambayo yanaweza kuja kupelekea magonjwa ya kisukari na presha..hapo ukute anajiiba na mume wa mtuWandugu habari zenu, napitia wakati mgumu kimaisha na mke WANGU kwakweli nimeishi nae miaka 17 bila shida yeyote lakini hivi karibuni amekuwa na mambo tofauti sana. Wiki iliyopita aliomba ruhusa ya kwenda kwenye maadhimisho ya kikoba chao kigamboni ambako wamekodi hotel na wanatakiwa kushinda na kulala hadi kesho yake!
Nikamruhusu kwa roho safi lakini soku moja kabla akanips taarifa hatoweza kwenda kwakuwa wametakiwa wabaki kazini kwani mkuu wao anakuja hivyo safar ikafa, Jana nikampa taarifa ya kuwa Jumapili ijayo tunatakiwa kwenda kumuona mtoto shuleni kwani ni siku ya shukrani kwa watoto kufanya vizuri kwenye mitihani yao, akasema imekuwa vzr kuwa this Sunday kwn next Saturday wanakwenda kiofisi mbuga za mikumi ambako wanalala huko huko, nishtuka ingawa sikujionyesha kwa haraka then nikauliza ni kiofisi akajibu hapana wameji organise, nilivyopinga hiyo safari hapo Moto uliwaka aiseee!!! baada ya kutafakri sananimeamua ni vema mimi nimuache aendelee na mambo yake nami nikaanze maisha kwingine!
Nakaribisha ushauri
Mmeanza jaman, afuatilie kwanza haya mambo ya kukisia kisia ndio watu wanaua wapenzi wao kisa wamekurupuka.Mkeo ana Mchepuko kazini,
Na Mchepuko ndo kashika usukani
Wanawake wafanyakazi wahuni hutumia Safar za kikazi Kama chaka la kujifichia wanapochepuka