Usalama barabarani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 867
- 1,069
Mkuu huyo mwanaume hajisimamii na kuisimamia familia/ ndoa yake Ndiomana mkewe anamuona jamaa kama mdogo wake wa kiume tu!! Au ukute mkewe alimvumilia sana visanga/ kuchepuka kwa jamaa sasa nayeye kaamua liwalo na liwe!Nyuzi za hivi zinapokuwa nyingi zinawapa wale jamaa nguvu za Kukataa Ndoa pamoja na Kampeni yao kushika kasi.
Kama ndoa yenu ina miaka 17 ni Obvious wewe na mwenza wako ni watu wazima na mtakuwa mnajuana in and out kwa kuzingatia miaka mliyoishi pamoja.
Kusema kweli katika vitu vinachangia kulegalega mno kwa ndoa nyingi ni Wanawake kucheza Vikoba.
Unaweza kuta mke anacheza kikoba kimya kimya alafu hela ya kulipia huko anadanga kwa Wanaume. Una kuta huyo Mwanamke ana wanaume 3 au wanne wa kuombwa hizo elfu 20 za kulipia kikoba. Yaani unapoteza utu wako kwa kudanga kisa elfu 20 ya kulipia kikoba.
Siwezi kuwa sahihi asilimia 100 ila itoshe kusema huyo Mkeo kuna Mwanaume ana Date naye.
Chunguza then ufanye maamuzi baada ya kuwa na ushahidi uliotimia.
Maisha bado matamu, huwezi kukosa amani ya nafsi kwa kumuendekeza Mtu ambaye mmekutana Ukubwani
Duh ni hatariPunguza Pressure ungefanya uchunguzi kwanza, Wanawake wengi wamekuwa pasua kichwa sana kuna Mke wa mtu Mume wake ni mgonjwa, kwasasahivi ana Mchepuko wake alishatambulishwa kwa wakwe wapya anataka talaka ili aendelee na Mchepuko wake.
Cha msingi tukuchangie buku buku na wewe uende mikumi
Unamtetea mwanamke mwenzio. Huoni kwamba amepata mchepuko ameanza kuleta mauza uza kwenye familia.Mbona kama umefanya maamuzi ya mihemuko? Kwanini usifatilie kwanza..
Ww unaona yuko sawa mwanaume mwenzio? Amuache mkewe kwa sbb ya kitu ambacho hana uhakika nacho?Unamtetea mwanamke mwenzio. Huoni kwamba amepata mchepuko ameanza kuleta mauza uza kwenye familia.
Analazimisha safari akapigwe kipara
Ni wivu tu.Unamtetea mwanamke mwenzio. Huoni kwamba amepata mchepuko ameanza kuleta mauza uza kwenye familia.
Analazimisha safari akapigwe kipara
Watu na experience zao[emoji1][emoji1][emoji4]Usihukumu mapema, kabla ya yote,
Fuatilia mawasiliano yake ujiridhishe