Ni kweli balozi. Vijana wengi wa kiume siku hizi hata ile salamu tu hawajui, sembuse kutongoza! Kuna mmoja alinisimamisha barabarani akawa ananitezama tu hasemi kitu, nikamsonya nikaenda zangu. Nilivyomwona,huyo tungekutana kwenye njia yenye vichaka vingi angejaribu kunibaka.