Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 1,159
- 1,054
- Thread starter
-
- #101
Kwako wewe mbumbumbu ni jambo la kawaida. Kwa werevu kama mimi na wengineo hapo kuna walakini. Kama vipi chukua hata kofia ya Jwtz, wakati wewe hata likuruta hukupitia.Then katiza nayo mitaa ya Lugalo ama kwingineko palipo na "watoto" wa Mwamunyange. Hapo ndipo utajua kuwa kuvaa kofia kiholela ni sawa ama laa kenge wewe!
Marehemu baba wa Taifa ndg. Nyerere alisha mkataa.Hao wanao mpigia debe wana ganga njaa,2015 watamkimbia.
Hakuna ubaya wowote mtu kuonyesha msimamo wake wa kisiasa
Nyerere ndo nani?hebu tupisheni hapa kwanza nyererr na uozo wake ndo kaifikisha hii nchi ilipo
Nyerere ndo nani?hebu tupisheni hapa kwanza nyererr na uozo wake ndo kaifikisha hii nchi ilipo
kwani shehe akialikwa kanisani haruusiwi kuvaa kanzu na kibarakashia
Baba Gaude,Nyerere ni baba wa Taifa.aliaacha nchi ikiwa na hali nzuri sana angalia statisitics za uchumi kwa miaka yake aliyokuwa madarakani.
Nikukumbushe mtu haingii Ikulu kwa kugawa fedha makanisani na misikitini,usiwe maskini wa fikra.Ikulu ni mahala patakatifu.Kuna watu wengi ambao wakiombwa wagombe wanaweza kutufukisha kwe hali bora lakini hatujafikirisha vichwa na tumelemazwa na hao wanao pitapita na vijisenti vyao wakitaka kuingia ikulu.Njaa zako za leo zitakugharimu maisha yako,watoto wako na hata wajukuu.Mabadiliko haya kwepeki.
Wanajamvi nawasalimu.
Dhumuni langu nikuwaomba mnifafanulie utata ninao upata. Kiukweli sijaelewa kwanini lowasa avae kofia ya chama kwenye tamasha la ufunguzi wa waendesha bodaboda!
Kwanza binafsi natambua lile tamasha si la kisiasa. Nitamasha lenye kuwakutanisha watu wenye itikadi ya vyama tofautitofauti.
Au laa itambulike lowasa amefungua tamasha la waendesha bodaboda ambao ni wanachama wa ccm.
Nawasilisha.
kama ndivyo ivyo basi tuwambie walimu,majaji,mawaziri,wafanyakazi,na wengineo kwa wingi wao. Wawe wanaonyesha hisia zao za kichama katika sehemu zao. Je, unavyoona nchi itatawalika?
Kuna utaratibu ambao umetengenezwa mojawapo ni sehemu za kazi mambo ya kisiasa hayaruhusiwi...hili la kwako halipo ndani ya huu utaratibu
sasa hapo hoja yako ni ipi mkuu
nasikia na mh. January anafungua tamasha la waendesha bodaboda kama lowasa alivyo fanya dar. Pia hujumbe na maudhi ni yale yale.
Alafu waalikwa ni walewale maswaiba. Alafu wote wamejinasibu wanataka kugombea urais.
Wenye kuunganisha doti kazi ni kwenu.
Jamaa anapenda sana RAHA......
Haujamuelewa kasababu wewe ni UVCCM
Mbona jamaa kachoka choka, atafikka kweli???