Sijalipenda hili jina

Ukiona hivyo jua linazama kaka na uncle zimedhakupita. Ni sawa na akina mama utasikia dada, aunt na mwisho mama.
 
Kuna baadhi ya vitu huwezi zuia aisee
 
Kumbe we ni libaba ha ha nkajua kikaka!! Shkamoo libaba !!!
 
Ulipokua mdogo ulikua unasalimia shikamoo baba hata kwa kijana mdogo, imefikia zamu yako sasa.
 
Pole mbaba kwa kupata makwazo jioni hii kutoka kwa mhudumu, ila nimecheka sana. Sasa ulitaka akuiteje labda?
 
Aliamua kukuita mbaba kama kinga yake usimwombe pa......i kweli alifanikiwa maana alishakujenga kisaikolojia ukamchukia
 
Aisee umenilazimisha kucheka,! Yani leo nlikuwa na hasira!
Jf smtm raha sana!
 

ndio ulivyo mbaba....usilaumu wahudumu mimi huwa naitwa mkaka.
mbaba mara nyingi unaonekana mtu mzima kiaina halafu hujijali teh teh
 
Mbaba halijakaa kiheshima bora angekuita mteja.,
 
mshana jr punguza misosi. unaona sasa kijana mdogo inafananishwa na wababa
 
Last edited by a moderator:

Huyu Mzee anakuita,vp hiyo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…