Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 247
<br />Gazeti, utasababisha mleta thread ajinyonge
Lazima atest, akinyolewa nje inakuwaje? Alitaka ajue different style ya kushika wembe ili uje ufurahie kunyolewa.
Zipo zile Unisex, ambapo mnyozi mwanamke hunyoa madume na dume hunyoa wanawake!Siamini kama kuna salon za kunyoa hyo kitu.