Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,688
- 1,281
Gazeti, utasababisha mleta thread ajinyonge
Hata wewe pia utasababisha presha imuue- unavyomwambia mali zake zinaliwa-kesho tunaweza tangaziwa hatunaye tena!!
Gazeti, utasababisha mleta thread ajinyonge
ntasikitika kwa kuwa atakufa na msitu wake. Maana naona jana aliweka ngumu kunyolewaHata wewe pia utasababisha presha imuue- unavyomwambia mali zake zinaliwa-kesho tunaweza tangaziwa hatunaye tena!!