Sijajua kama huyu mwanamke ananipenda au kuna kitu analenga kwangu

Hakuna kitu kizuri kama friendship bila sex aisee.kwanza unakuwa huru,unapata nafasi ya kumjua mtu ndani nje,acha papara kijana
 
sasa kama hataki kupigwa pipe, kuna haja gani ya kuendeleza huo urafiki wenu?
Baada ya siku aliniletea hzo swaga et bora tuwe marafiki kama hutaki urafiki ni bora mmoja akubari kuumia na mm nikamwambia nipo tayari kuumia lakin sio kwa kuwa marafiki, akaniambia basi sawa tutabaki kuwa tunakutana kikazi tu, coz yeye anafanya kazi sehem nyingine na mm nyingine, basi mm sikufanikiwa kumtafuta tena nashangaa jioni ananipigia m@m@e sijui ananitafuta nn tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sent using Damu ya Yesu
 
Back
Top Bottom