sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,498 Sep 1, 2012 #21 bornagain said: Hahaha ni kweli ndugu yangu ntasubiri sana maana all I see here is just politics basi Click to expand... Umeonae?
bornagain said: Hahaha ni kweli ndugu yangu ntasubiri sana maana all I see here is just politics basi Click to expand... Umeonae?
NICK2275 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 3,930 Reaction score 924 Sep 2, 2012 #22 Ng'wanangwa said: hivi kwa nini huyu JK ni failure kwa kila kitu? hivi inakuwaje mimi mpaka dakika hii sijahesabiwa? au Chadema hatuhesabiwi? Click to expand... binafsi sijawaona hawa wanaohesabu na siku zimeisha sasa-nitaingia kwenye group la "estimation"
Ng'wanangwa said: hivi kwa nini huyu JK ni failure kwa kila kitu? hivi inakuwaje mimi mpaka dakika hii sijahesabiwa? au Chadema hatuhesabiwi? Click to expand... binafsi sijawaona hawa wanaohesabu na siku zimeisha sasa-nitaingia kwenye group la "estimation"
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,650 Reaction score 16,731 Sep 2, 2012 #23 aisee hata mie sijahesabiwa wala sijishughulishi kuwatafuta wamelipwa ajili ya kazi ya kutuhesabu nashangaa walipita mara moja tu huku kwetu af gggg sijawasikia tena na nawajua ukienda ofs za serikali za mtaa watataka buku mbili walaa siendi
aisee hata mie sijahesabiwa wala sijishughulishi kuwatafuta wamelipwa ajili ya kazi ya kutuhesabu nashangaa walipita mara moja tu huku kwetu af gggg sijawasikia tena na nawajua ukienda ofs za serikali za mtaa watataka buku mbili walaa siendi