Sijafa lakini nakiona cha moto.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijafa lakini nakiona cha moto....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by dinarisaba70, May 20, 2010.

 1. d

  dinarisaba70 New Member

  #1
  May 20, 2010
  Joined: May 20, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina wangu wa ubani kwa miaka lakini naungama kuwa yupo mjomba ananizidi kete. Kukaa nae nataka........., kuachia ngazi nataka........ Vipi wadau?
   
 2. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  we ni mwanaume, au mwanamke, weka mambo wazi ili watu wajadili kitu halisi, usiweke mafumbo.
   
 3. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hueleweki
   
 4. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,480
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  jaribu kuwa muwazi andika kitu kinachoeleweka wewe ni nani uhuasiano mlianza lini nk, sio unaweka mistari utadhani fumbo au beti za taarabu
   
 5. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #5
  May 20, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  anaongea kwa mafumbo (parables), angeweka wazi nini hali halisi ili watu wajue kinachoendelea, kama yeye ni mwanaume sasa mke wake anaibiwa na mjomba mmoja mtaani, au kama yeye ni mwanamke sasa mme wake ana matatizo fulani hata sijui anataka kusema nini.
   
 6. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,480
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  eleza vizuri sio unaandika kama mistari ya taarabu eleza kwa kirefu usahidiwe mawazo alaaaaaaaaaaaaa:angry:
   
 7. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kwa maelezo yako mzani umelingana (ume-balance), basi kaa hapo hapo! Vinginevyo angalia upande upi umeelewa na uufate huo huo tu. Kama wewe huuoni basi hata sisi hatuwezi kuona kitu!
   
 8. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Rudia tena.
   
 9. R

  Renegade JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,769
  Likes Received: 1,074
  Trophy Points: 280
  Weka wazi.
   
 10. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Doo Kazi kweli kweli !


  Miaka kumi; hebu leta tuuchunguze huo moyo wako inawezeka ulishajifia siku nyingi! Fafanua mko kwenye ndoa ama?
   
 11. Zneba

  Zneba Senior Member

  #11
  May 21, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nilidhani ni mimi tu ndo nina matatizo ya kuwa na kuchwa cha panzi
   
 12. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #12
  May 21, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Hujui cha kufanya,kumbe ndio maana mwenzako anakusaliti..
   
 13. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #13
  May 21, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  dinarisaba70
  [​IMG]
  Junior Member [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] Join Date Thu May 2010
  Location United Kingdom
  Posts 1
  Thanks : 0
  Thanked 0 Times in 0 Posts
  Rep Power 0
  jamani huyu anahitaji "orientation week"...ili aweze kuizoea jamii forum...maana naona kadondokea hapa jf mbaya zaidi kaingia chumbani badala hata ya kuanzia sebuleni aizoee nyumba...muelewesheni jinsi ya kuleta mada jamvini ili aweza kujibiwa....nashauri "manguli na vingunge" wa jukwaa la mapenzi wamuibukie pm kwake wampeleke jando na kumcheza unyago kisha alete tena hoja yake asaidiwe ipasavyo....pole sana dinari saba na vibande thelasini vya pesa kama iliyotumika kumsaliti bwana wetu yesu akak issa ibn mariam.
   
 14. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #14
  May 21, 2010
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,029
  Likes Received: 560
  Trophy Points: 280
  Iandike upya kwani haieleweki
   
Loading...