Sijaelewa Usajili wa silaha Mara ya Pili sasa !

Pius J. Kiwarya Lema

JF-Expert Member
Nov 14, 2013
1,097
566
Sjjaelewa Kila mfumo wa serikali unaanza
upya au ?
Usajili wa silaha umefaanyika mara Mbili toka 2010!

Silaha zote zimeingizwa kwenye Mfumo Wa Jeshi la polisi !

Sasa Ninaposikia kusajili upya Nimebaki najiuliza,!!!!!

Hivi ule usajilj ulikosewa au ndo kila awamu ikija inafuta kila jambo hata kama ni jema !
 
Utauelewa tu, pale ambapo matumizi ya silaha nzito yatakapokuwa yamedhibitiwa kiasi cha wewe kuweza kulala na kuamka salama huku ukiwahi ofisini kwa amani kabisa. Tangu 2010 mpaka leo zimeingia silaha ngapi nchini?. Kumbuka tumezungukwa na nchi zenye vita na kila aina ya uharamia.
 
Tangu 2010 mpaka leo miaka 6, sasa kinacho kushangaza ni nini! Kama una miliki silaha kihalali wasiwasi wako ni nini? Na kama haumiliki mbona wenye nazo wametulia. Mfumo ukianza upya shida inakuwa wapi. Hujaelewekw hasa unacholalamikia ni nini? Msiwe mnalewa alafu mnakimbilia ku comment
 
Wewe usiyemiliki silaha kihalali nenda Kaisalimishe! Hizo haramu hazisajiliwi
 
Hawa vijana dah!...Hivi wewe kijana hata US leo wanafanya zoezi la kuhakiki silaha wewe unashangaa bongo baada ya miaka takriban 6,ntaongea na Mbowe anawadhalilisha sasa....kawashika akili vibaya.
 
Utauelewa tu, pale ambapo matumizi ya silaha nzito yatakapokuwa yamedhibitiwa kiasi cha wewe kuweza kulala na kuamka salama huku ukiwahi ofisini kwa amani kabisa. Tangu 2010 mpaka leo zimeingia silaha ngapi nchini?. Kumbuka tumezungukwa na nchi zenye vita na kila aina ya uharamia.
Kwa hiyo ww kwa akili yako unafikiri wale wasiomiliki kihalali hizo silaha watajitokeza wenyewe?
 
Ficha upumbavu wako,kwani ukakuguzi wa magari hulenga kufanya nini?...kati ya hao wamiliki wapo wasiomilliki kuhalali,kuna waliokufa inabidi zirudishwe angalau kuongeza udhibiti.
 
Bila shaka mpumbavu utakua wewe husiyejua kua magari yanatumika kiuwazi tofauti na silaha. Wakisema uje polisi kukaguliwa kama ww una gari la wizi utalipeleka? PUNGUANI
 
Tangu 2010 mpaka leo miaka 6, sasa kinacho kushangaza ni nini! Kama una miliki silaha kihalali wasiwasi wako ni nini? Na kama haumiliki mbona wenye nazo wametulia. Mfumo ukianza upya shida inakuwa wapi. Hujaelewekw hasa unacholalamikia ni nini? Msiwe mnalewa alafu mnakimbilia ku comment
Mkuu hayo ndo matatizo ya Watz wengi kila jambo likija ni kukosoa tu mf.sensa ikipita haina maana ndo basi hakuna kuhesabu tena
 
Haujaelewa nini? peleka silaha watu wakakague kama imetumika kwenye uharifu. Simple. Maana mmezoea kukodisha silaha kama tax. sasa usiipeleke ,kazi unayo.
 
Sjjaelewa Kila mfumo wa serikali unaanza
upya au ?
Usajili wa silaha umefaanyika mara Mbili toka 2010!

Silaha zote zimeingizwa kwenye Mfumo Wa Jeshi la polisi !

Sasa Ninaposikia kusajili upya Nimebaki najiuliza,!!!!!

Hivi ule usajilj ulikosewa au ndo kila awamu ikija inafuta kila jambo hata kama ni jema !
Acha uanze upya uliopita ulijaa mapungufu mengi...wenye nacho walihakikiwa juu juu
 
bora nyumbu kuliko nyinyi kenge. Kenge mvua ikinyesha anaingia mtoni kujikinga. Hamna maono. Ni iyo serekali yenu na watu walewale na mfumo hule hule unatawala nchin toka uhuru. Hamna mgeni katika vyombo vya usalama ni walewale halafu mnatuletea sarakasi mpate umaarufu.
Asante nyumbu kwa majibu yako kuntu nimekuelewa ndio maana mlizungusha mikono kumnadi Lowasa,Sumaye,Kingunge na makandokando kwani hawa watu ni wapya kuleta maono mapya ya nchi...chonde chonde usizungushe mauno!
 
Tangu 2010 mpaka leo miaka 6, sasa kinacho kushangaza ni nini! Kama una miliki silaha kihalali wasiwasi wako ni nini? Na kama haumiliki mbona wenye nazo wametulia. Mfumo ukianza upya shida inakuwa wapi. Hujaelewekw hasa unacholalamikia ni nini? Msiwe mnalewa alafu mnakimbilia ku comment
Mtoa mada atakuwa ni jambazi au mzee wa boxer...
 
Kweli mi naona usumbufu kila mara usajili. Unapokwenda silaha inaandikwa alama. Sasa sijui ni alama ngapi zitawekwa kwa kipindi cha miaka 10?
 
Back
Top Bottom