Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*nimekaa na dada mmoja kwenye daladala wakati anateremka akanikanyaga kwa nguvu nikamuuliza vipi? Kanipa bonge ya sonyo na kuniambia nilidhani bubu mbona muda wote hujaomba hata namba ya simu! Bado natafakarii*