Sijaelewa lengo lake!!

Sijaelewa lengo lake!!

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,676
1422552056100.jpg
 
kwani kigeti kama hiki huja kiona pale reception ikulu.
 
Hata mimi naona hivyo.Ameanza na geti la kutumiwa na watu, halafu geti la gari litajengwa pembeni upande wa kushoto wa hilo dogo la watu.
Ujenzi unaendelea ameanza na geti dogo la kuingilia watu alafu kushoto ataweka geti kubwa kwa mbali hapo mkono wa kushoto kuna kona moja ya geti kubwa imetokeza nadhani mafundi wamekwenda lunch
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom