Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Ni kikundi au chama cha waislamu wa KCMC
labda ni vikundi ndani ya KCMC.....sio ishu sana....sijui kwa wengine........
Baadhi ya wanafunziJumuiya ya muslim university kile chuo cha Mkapa kule morogoro kuna mhadhiri hata mmoja au mwanafunzi mkristo? pateni picha hapo jamani....hata aibu tu hamna?
Jamani tuwaache watoto wa uzao wa mama mdogo wasije andamana. Tuache kuwapa Polisi & JWTZ wetu kazi ya ziada ya kuwafanya watu wachomekee mavazi marefu.Kilimanjaro Christian Medical Collage Muslim Association....hahaha, si wajenge cha kwao ndo ilo jina litakuwa vizuri...ajabu yake, wamejaa pale kcmc LAKINI ukienda kule Morogoro Muslim University (sawa tu na hiyo Christian medical collage) hakuna hata mkristo mmoja, wanabagua ile mbaya, wanataka waislam tu ndo waende pale, si cha mwanafunzi wala mhadhiri.