daniel enocy
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 380
- 413
Niliomba BAAF MOCU MZUMBE BAF IAA BA YA A/C IFM A/C NA ARDH B.SC AF TATIZO MSAADA JAMANI
Inawezekana hukuchagua vizuriniliomba BAAF MOCU MZUMBE BAF IAA BA YA A/C IFM A/C NA ARDH B.SC AF TATIZO MSAADA JAMANI
Umesoma nini kwenye diploma na chuo gani? Na O level una atleast 4 Ds?3rd round tayari nahitaji ushauri wenu
Ukiona inazidi kukusumbua nenda ofisi zao ni suluhisho alilowahi kulitumia rafiki yangu.Pole mkuu, kilichokukuta ndicho kimenikuta na mimi. Nina GPA ya zaidi ya 4, o level Nina credits zote tisa. Halafu nimeambiwa not eligible kwenye kozi zote nilizoomba. Nimesoma diploma ya mifugo na niliomba kozi ambazo ni mwendelezo wa mifugo (veterinary medicine, animal science, fisheries, beekeeping) sasa nashindwa kuwaelewa NACTE wanataka nini haswa.
NACTE wanakujaribu....alafu hujaribiwi.Pole mkuu, kilichokukuta ndicho kimenikuta na mimi. Nina GPA ya zaidi ya 4, o level Nina credits zote tisa. Halafu nimeambiwa not eligible kwenye kozi zote nilizoomba. Nimesoma diploma ya mifugo na niliomba kozi ambazo ni mwendelezo wa mifugo (veterinary medicine, animal science, fisheries, beekeeping) sasa nashindwa kuwaelewa NACTE wanataka nini haswa.
ITAKUA NYOTA YAKO HAING'AI..!
Nenda ofisini kwao physically.. usifanye gamble tena kwa hii round ya tatu.. haiyumkini ni ya mwisho... funga safari ukawadai muongozo macho kwa macho... goodluckYaan sijui hawa NACTE wanaangalia nn..!! Nina GPA 4.2 ya Mechanical Engineering wananiambia NOT ELIGIBLE tena sina Minimum Requirements wakat O'level nina vigezo walivokuwa wanavitaka..!!
Ngoja nione na hii Third Round itakuaje...!!!