Sijabahatika kumpata mke mwenye mwema

Sijabahatika kumpata mke mwenye mwema

Note: Awe anajiheshimu, na mwelewa,
Usikatishwe tamaa umri wako bado mdogo na utampata . Licha ya mitandaoni nakushauri kujiahidi kujichanganya katika jamii. Kwenda kwenye nyumba za ibada hata kushirikisha viongozi wa ibada na watu wazima wastaarabu waambie hitaji lako wanaweza kukusaidia kupaa mwenza Kuna dhana potofu ya kudharau kuunganishwa hakika nakuambia ukimweleza mtu anaekufahamu atakuchagulia match yako. Mi na mifano mingi ya watu kuuunganishwa wamedumu mpaka leo tena kwa maisha ya furaha .All he best.[/QUOTE]

Niunganishe na mimi 😎
 
Sifa ulizotaja zipo nyingi hata mie ninazo tatizo lako hujamshirikisha Mungu umeanza na sisi wanadamu just do this simple! fast and pray kneeldown before the Lord and then wait for God's time im telling you Mungu atakujibu.Ukifanya papara majuto yatakuwa sehemu ya maisha yako! sikuombei mabaya ila jichunguze kwanza.
 
Wewe mwenyewe ni mwema? Jiulize na ujijibu kisha endelea na mchakato wa kumtafuta mnayeendana
 
hiyo sifa ya mwisho inayosema na awe mwembamba iweke iwe probability kwa sababu hawatabiriki. Unaweza kumuoa akiwa 1gb lakini akizaa simtank linaafadhali
 
hiyo sifa ya mwisho inayosema na awe mwembamba iweke iwe probability kwa sababu hawatabiriki. Unaweza kumuoa akiwa 1gb lakini akizaa simtank linaafadhali

Watu mna maneno!! Eti simtank Lina afadhali
 
Usikurupuke utajuta tulia utapata mwamke waukweli mwombe mola
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom