Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,851
Naomba kueleza kuwa bado sijabahatika kumpata mke mwema hadi sasa, kwangu mimi ni mwajiriwa, nina miaka 28 hadi sasa na elimu ya chuo kikuu, nipo kanda ya ziwa, nahitaji mwanamke aliye na kazi au anayetegemea kupata kazi, sichagui kabila ila awe na hofu ya Mungu, ajiheshimu na awe mwelewa, elimu yake awe kuanzia form 6 na kuendelea, mrefu wa wastani na mwembamba, Miaka awe kuanzia 24-27 tu.
Aliye tyr n-PM.
Note: Awe anajiheshimu, na mwelewa,
Aliye tyr n-PM.
Note: Awe anajiheshimu, na mwelewa,