Sija waelewa VODACOM kwenye hii menu yao

Sija waelewa VODACOM kwenye hii menu yao

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,597
Reaction score
1,868
Hii inaonyesha wame copy Airtel ila sijui kwa nini hawabadilishi haya maneno Airtel, unaipata unapo taka kununua muda wa maongezi
View attachment 758250
DSC_0580.JPG
 
Hahaa hujaelewa nini sasa hapo mkuu au neno Airtime ndo limekuchanganya
 
Khaaaaa.....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kweli nimeamini mwalimu wako alikuaga anakazi ngumu ya kukuelewesha na kukufundisha at the same time, with the same salary....
Sawa, nimesha uona.. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Niliona Airtime=Airtel ila nao wana makosa Kingereza na Kiswahili ndio tatizo hapo. Nadhani idadi ya maneno iliwabana 'Muda wa maongezi' =Airtime
 
Kweli ujinga ni Sawa na msalaba wa miba.
Yaani Airtime (muda wa maongezi), unafananisha na Airtel (mtandao).....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi kweli kweli
 
Hii elimu yetu bila kuiwekea mkazo kuna shida kubwa sana huko mbeleni
 
tatizo lugha yenyewe hii ya kiswahili haijitoshelezi...
 
Back
Top Bottom