Siipendi hii tabia

Hahah hamna hio huwa tuna sense tu.
Utashangaa tu umebakia mwenyewe na bill zako za kulipa. Maana Menu ikija ukaona muhun kaagiza maji jua mbombo ngafu.

Km pesa huna pumzika home au muite maghetoni hiz sifa zitawaponza
Si tunajua mkiagiza maji mnajali afya zenu
 
Mwanaume analipa ila inakuwa sio fairplay. Jamaa aliona msosi wa 45K ale demu tu akaona bora waende rato kwa rato๐Ÿคฃ
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃMbona rato Kwa rato,kaona heeee ya Nini mie,ngoja nipoze njaa,......ila wadada wa kibongo ndio maana tuna vitambi yaani tukitoka out ni kula kujigaragaza
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃMbona rato Kwa rato,kaona heeee ya Nini mie,ngoja nipoze njaa,......ila wadada wa kibongo ndio maana tuna vitambi yaani tukitoka out ni kula kujigaragaza
Unajigaragazaje plate 45K jamaa alikuwa na 50K kaagiza maji ya buku 5 mpunga umekata. ๐Ÿคฃ

Wakat wangeenda sehem ya kawaida wangeinjoy kwa uchakavu usiozidi 20K tu. Chenchi inayobakia ni Lodge
 
Siku hizi wanakuvua wig nasikia ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Me kwakweli hiz out za wamatumbi lazima nibebe cash na tembo card incase tukizinguana nisiaibike.
Km Sina pesa siendi, wamatumbi hawajawahi kueleweka
Sasa Mimi sio kila mtoko navaa wigi, zingine najiendeaga na lowcut yangu Sasa hapo si ni kudeki mgahawa tu?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Nchi kama US ukitoka date na demu basi malipo ni 50-50 mademu wa kibongo akipata Boy friend ndio anaona kama amepata ajira!

Huyo Mwanaume ndio wa level yako,kama ukibahatika ukampata wa level ya juu kidogo basi na yeye atakutema.
Ndo maana mimi nasema 50/50 ikiwa applicable kwa vitendo wanawake ndio watakaoumia. Wengi watakosa sehemu za kuishi wengi watakufa njaa. Wamekazania 50/50 kwa sababu hawana maono ya mbali. Mfano huyu mleta mada katoka date na jamaa halafu anataka kulipiwa kila kitu akitoka hapo anadai 50/50
 
Unajigaragazaje plate 45K jamaa alikuwa na 50K kaagiza maji ya buku 5 mpunga umekata. ๐Ÿคฃ

Wakat wangeenda sehem ya kawaida wangeinjoy kwa uchakavu usiozidi 20K tu. Chenchi inayobakia ni Lodge
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Hapo kwenye chenchi umeua...
Watu wanataka kwenda zao sehemu zenye hadhi๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
We nae njaa zinakusumbua ,ndio maana unalia Lia tu hapa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ