Siipendi hii tabia

Ni aibu Sana mdada unatolewa out siku ya kwanza, afu unaagiza misosi utadhani uko nyumbani kwenu.

hiyo Ni ishara kua ulkua na njaa Kali,
Hayo wanafanya wanawake wa Bei rahisi

Mwanamke classic huagiza juice, wine au maji makubwa tu.

Kama katingwa sana huagiza bites au chocolate kusindikizia, Kisha story nyngn zinaendelea.
 
Mimi nikiamuwaga kula hotel kubwa basi lazima nilipie buffee huwa sina masihara haili kwangu hata siku moja.

Hao Samaki na Kuku huwa wananitambuwa kisawasawa.
 
Najitegemea
Tatizo why ask me for a date and kujifanya you can afford everything wakati huwezi si bora uwe muwazi nikusaidie
Mtoa mada wee nae njaa Kali Sana,

Huna uchumi huo unaotaka kutuaminisha

Kama unao Basi wee bado Ni wale wale mshamba wa vijijini, huna exposure yoyote

Alokwambia Watu wanaendaga date ili kula kushiba ni Nani?
 
Wanawake wa kibongo,
exposure bado ni tatizo Sana,
Hasa waliozoea kula viporo makwao
ukimtoa out anatafta namna akafidie kabisa
 
Mtoa mada wee nae njaa Kali Sana,

Huna uchumi huo unaotaka kutuaminisha

Kama unao Basi wee bado Ni wale wale mshamba wa vijijini, huna exposure yoyote

Alokwambia Watu wanaendaga date ili kula kushiba ni Nani?
Unakosea kumtuhumu huyo mwanamke kosa ni la mwanaume jamii yetu inasakama sana wanawake alafu tunataka wanawake wawe wanafikiri sawa na mwanaume hapana haiwezekani
 
Mimi nikiamuwaga kula hotel kubwa basi lazima nilipie buffee huwa sina masihara haili kwangu hata siku moja.

Hao Samaki na Kuku huwa wananitambuwa kisawasawa.
Sahii kabisa,
hotel tukienda date ni tumekodi TU eneo la mazungumzo, ule sio mgahawa ukamalizie njaa zako kule. Otherwise umeenda peke yako au mtu wako wa siku zote.
 
Well, uko sawa lakini swala la lodge au hotel ni la mwanaume siyo akupangie mwanamke.

Ukipenda unaweza kwenda kuspend night hata five star hotel na kama bajeti hairuhusu lodge za sh 20,000/= zipo kibao tu nzuri, safi na full Ac.
Pesa yangu afu denti anipangie akae kando.... Na ogopa Dem akwambie twende pale.... Ko yeye ile ndo biznez place yake..... Sometimes najipa hongera my self.... I have dinner na washkj tuu..... Ama ndg zangu sio lzm hawa pasua kichwa

Nimejfunza wanaume wengi waliteketea na tunaisha kisa hawa viumbe.,... Unawekeza kwake financial, emotional, na kila kitu bdo anafanya ujinga..... I have to balance mapenzii myself then ndo ni sambaze kwake...... Hivyo tuu....
Maake utamfanyia kila kitu na bdo haoni.
 
Mwanaume kweli tatizo analo,
Ila la mwanamke nalo Ni Tatizo pia
Tusilete gender au double standard ktk hili
Ndo maana unamtongoza mwanamke wewe mwanaume ndo mwenye uhitaji nae
Na mimi naombea wanawake waendelee kuwa hivi hivi tegemezi ni faida kubwa sana kwa wanaume na jamii kwa ujumla

Western countries wanawake wameweza kuwa na financial freedom wakaanza kudai haki sawa na hata mimba hawataki tena kubeba
 
Jamaa ndo kamwambia mwanamke achague ebu kuwa unasoma uzi
 
Mtoa mada alitakiwa kujisitiri na kumsitiri jamaa Yake, wote wamekutana Ni njaa Kali afu waigizaji. Tatizo nnaloliona, mmoja wao kamzidi maigizo mwenzie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…