Siipendi hii tabia


Truth ndo iliku set free na ndio ikamfanya mpaka mkapendana
Sasa mtu uongo na kujitutumua
 
Umenikumhusha back then nimeomba date naambiwa "sina nguo ya kuvaa" naam??? "Sina nguo ya kuvaa kwenye date yetu"....okay okay..tutapanga siku nyingine ukipata nguo ya kuvaa!!
 

Na mm nimegundua hajitambui na hajielewi na haishi maisha halisi na mimi pia sihitaji mtu kama huyoo
 
Inaonekana hilo jambo limekupa hadi Stress kufanya ukose na Usingizi, maana hadi kuandika mada hii saa 12:44 AM sio mchezo.

Wakati mwingine, Mwanaume anaweza kukupima kama u-mchoyo kwa vitu kama hivyo.

Kama yeye aliyegharamia kununua hicho chakula unataka kumnyima, Vipi ikitokea amekuoa.

Ndugu zake kweli unaweza kuwaandalia chakula, ama utaishia kuwafukuza?

Kama unaanza Uchoyo mkiwa kwenye hatua za awali hivi, mkiingia kwenye ndoa si hautataka utembelewe hata na ndugu mmoja wa upande wa Mume?
 
Mkuu, we endelea kuwapaka mafuta tu kama watu wenyewe ndio hawa.

Agiza na asali kabisa🤣🤣🤣
 
Mkuu, we endelea kuwapaka mafuta tu kama watu wenyewe ndio hawa.

Agiza na asali kabisa🤣🤣🤣
Mkuu unataka nifie kitandani, Babu yao nimezeeka Ujue 😅

Inaonesha huyu Binti ana asili ya Uchoyo, akiendelea hivi kuna siku atamnyima hadi Chakula cha Usiku Mume wake 🤪
 
Mkuu unataka nifie kitandani, Babu yao nimezeeka Ujue 😅

Inaonesha huyu Binti ana asili ya Uchoyo, akiendelea hivi kuna siku atamnyima hadi Chakula cha Usiku Mume wake 🤪
Kuna wanawake wa ajabu sana duniani, wanajali kupokea tu bila kutoa chochote angalau hata upendo huo nao ni utaoaji lkn hawana pia.

Ona anasema hamtaki tena.

Huyu ni Slayqueen mwaminifu kabisa.

Pili wewe huna uzee wowote.
Tuma nauli wakufuate newforce zimejaa mkuu lkn wanapokuja waje na asali na mafuta😂😂😂
 
Mabinti nao hujitutumua kuagiza vyakula na vinywaji wanavyoviona mitandaoni tu ili waonekane wa hadhi fulani.

Wengine vinawashinda hata kula wanaishia kuonja tu na walafi huishia kutapika huko vichochoroni.

Acheni uroho!
 
Ungeenda na hela zako ukalipia ILI aonekane fala zaidi lakini kama kalipia yeye mwenyewe na kala yeye Bas we ndio una MATATIZO!!!

Kwani ukiambiwa unatolewa out lazima aliekutoa agharamie ulaji wako!!?

Dependent syndrome itaua vipaji vya wengi!!
 
Huyo binti hafai kuolewa wala kufanywa Mchumba, vinginevyo aache tabia yake ya uchoyo.

Inaonekana Mkuu, hunitakii mema, yaani na Uzee huu nianze kukimbizana na mabinti, Over my deadbody 😎

Nimebaki kulea wajukuu tu 😁
 
Pole sana mkuu
 
Huyo binti hafai kuolewa wala kufanywa Mchumba, vinginevyo aache tabia yake ya uchoyo.

Inaonekana Mkuu, hunitakii mema, yaani na Uzee huu nianze kukimbizana na mabinti, Over my deadbody 😎

Nimebaki kulea wajukuu tu 😁
Hivi yule dr. wa Tabora vipi mkuu.

Ukweli ni kwamba mabinti wanataka wazee.....yule kibonge kutoka mipakani hajambo?, wewe watumikie tu mkuu.

Tugawane majukumu...wewe watumikie....wengine tumtumikie Kristo😂😂😂
 
Pole aisee....
 
Atakayefanikiwa kumuimpress mwanamke nipo pale nimekaa, nitampa 1M. Hata upange kukutana naye mbinguni kasoro zitakuwepo. Vijana ishini maisha yenu, hayanaga formula hata makungwi wa kike wamewashindwa wewe ninani 🤣 🤣
 
Ungemwambia tu kwamba asiwe na wasiwasi bili zote utalipa, hiyo ingekua dawa yake na asingafanya hivo tena kwa mwingine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…