Siipendi CNN

Siipendi CNN

2013

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
11,361
Reaction score
6,080
Nilikua mfuatiliaji wa CNN kwa muda. Hawa jamaa wamebadilika. Wanatumia muda mwingi kumkosoa Trump ama kuanzisha mdahalo wowote wenye kulenga kumkosoa Trump ama utawala wake. Umejikita kwenye pesimistic view.

sometimes wana jenga hoja za kijinga(_left wing) ili mradi Trump aonekane anakosea. Walituaminisha Trump ni mbaya na hata shinda urais. Hata hivyo wamethibitisha sii wakweli.
Trump anatumia Twitter kwakua hawaamini watu hawa. So bad. Watch Euronews kwa balance NeWS na BBC
 
Mkuu vyombo vyote ni wafanyabiashara wako kazini kusaka pesa, wanaangalia upepo unaendaje wanacheza na akili za watu. Sawasawa na kuamini mwanasiasa ataweka maslahi ya wananchi mbele kuliko maslahi yake binafsi, thubutu? Ndio maana wakikosa nafasi kwenye chama kimoja wanahamia kingine, hwana lolote, maslahi yao tu!!!

Kila chombo cha habari kina mrengo na misimamo yake, mingine iko wazi na mingine imejificha, mwisho wa siku lazima watengeneze pesa.
 
In vizuri ukajua usikokipenda zaidi kuliko unachokipenda
 
Nilikua mfuatiliaji wa CNN kwa muda. Hawa jamaa wamebadilika. Wanatumia muda mwingi kumkosoa Trump ama kuanzisha mdahalo wowote wenye kulenga kumkosoa Trump ama utawala wake. Umejikita kwenye pesimistic view.

sometimes wana jenga hoja za kijinga(_left wing) ili mradi Trump aonekane anakosea. Walituaminisha Trump ni mbaya na hata shinda urais. Hata hivyo wamethibitisha sii wakweli.
Trump anatumia Twitter kwakua hawaamini watu hawa. So bad. Watch Euronews kwa balance NeWS na BBC

Good! Vipi toka umeacha kuwaangalia unadhani wamepungukiwa na kitu labda?
 
Constant Negative News- kama CHADEMA
 
Nilikua mfuatiliaji wa CNN kwa muda. Hawa jamaa wamebadilika. Wanatumia muda mwingi kumkosoa Trump ama kuanzisha mdahalo wowote wenye kulenga kumkosoa Trump ama utawala wake. Umejikita kwenye pesimistic view.

sometimes wana jenga hoja za kijinga(_left wing) ili mradi Trump aonekane anakosea. Walituaminisha Trump ni mbaya na hata shinda urais. Hata hivyo wamethibitisha sii wakweli.
Trump anatumia Twitter kwakua hawaamini watu hawa. So bad. Watch Euronews kwa balance NeWS na BBC
Mbona Fox News wako upande wake hata pale anapoonyesha failure ya wazi? media huwa ina upande.
 
Nilikua mfuatiliaji wa CNN kwa muda. Hawa jamaa wamebadilika. Wanatumia muda mwingi kumkosoa Trump ama kuanzisha mdahalo wowote wenye kulenga kumkosoa Trump ama utawala wake. Umejikita kwenye pesimistic view.

sometimes wana jenga hoja za kijinga(_left wing) ili mradi Trump aonekane anakosea. Walituaminisha Trump ni mbaya na hata shinda urais. Hata hivyo wamethibitisha sii wakweli.
Trump anatumia Twitter kwakua hawaamini watu hawa. So bad. Watch Euronews kwa balance NeWS na BBC
Umesahau Fox walimwandama sana Obama so sasa zamu yao. Hii ni kwa zamu so Trump awe mvumilivu aachane na tweeter kwanza atie akili vinginevyo tundu la sindano sijui atatoka au ataingia.
 
Nilikua mfuatiliaji wa CNN kwa muda. Hawa jamaa wamebadilika. Wanatumia muda mwingi kumkosoa Trump ama kuanzisha mdahalo wowote wenye kulenga kumkosoa Trump ama utawala wake. Umejikita kwenye pesimistic view.

sometimes wana jenga hoja za kijinga(_left wing) ili mradi Trump aonekane anakosea. Walituaminisha Trump ni mbaya na hata shinda urais. Hata hivyo wamethibitisha sii wakweli.
Trump anatumia Twitter kwakua hawaamini watu hawa. So bad. Watch Euronews kwa balance NeWS na BBC
Kwa lugha rais sana ni kuwa huipend CNN kwa kuwa unampenda sana Trump, right?
 
Nilikua mfuatiliaji wa CNN kwa muda. Hawa jamaa wamebadilika. Wanatumia muda mwingi kumkosoa Trump ama kuanzisha mdahalo wowote wenye kulenga kumkosoa Trump ama utawala wake. Umejikita kwenye pesimistic view.

sometimes wana jenga hoja za kijinga(_left wing) ili mradi Trump aonekane anakosea. Walituaminisha Trump ni mbaya na hata shinda urais. Hata hivyo wamethibitisha sii wakweli.
Trump anatumia Twitter kwakua hawaamini watu hawa. So bad. Watch Euronews kwa balance NeWS na BBC
.., ukiangalia tu media ambazo zna mitazamo ifananayo na ww utakua brainwashed mkuu we angalia tu na CNN hata kama huipendi ili upate alternative views
 
Clinton Cable News walishakamatwa wakilikisha maswali kwa mama wakati we kampeni. Ila no vizuri kuangalia said ya channel Mona I'll utafute balance mwenyewe
 
Back
Top Bottom