miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
ukiunganisa shahada za kanisani alizopata SLAA haziwezi kufikia hata moja ya JK. Ukumnuke hata mapadre wengine wakitaka elimu zao walizopata makanisani zitambulike huwa wanajitahidi kusoma vyuo vya elimu vinavyotambulika , tuambie SLAA kasoma chuo gani kinachotambulika.
Upinda unawasumbua........!
Wagonjwa wawili mbona waliondoka wamehamia kwenu baada yakuona kule ni kwa watu wenye afya zao.Bila shaka unawaongelea Shonza na mwenzie.
Upinda unawasumbua........!
Wagonjwa wawili mbona waliondoka wamehamia kwenu baada yakuona kule ni kwa watu wenye afya zao.Bila shaka unawaongelea Shonza na mwenzie.
komba,nkamia,lusinde,majimarefu and co.
Mimi naipenda Chadema lakini siwapendi vijana wa Bavicha kwa kunywa viroba.
Msigwambowe, lissu +??
Hujui waliompigia kura mnyika ni wachaga wa kimara tu na zingine aliiba tu.Wewe wasema...Hivi kule Mbeya nako siku hizi wanaishi wachaga tu? Jimbo la Mnyika na Mdee na mengineyo nayo ni wachaga tu?
Akili za kuambiwa changanya na za kwako.....
Miss angalia usije kupita kwenye anga za Dr Slaa lazima mtazipiga na Josephine.
Miss angalia usije kupita kwenye anga za Dr Slaa lazima mtazipiga na Josephine.
Phd ya dini haitambuliki kwenye maswala ya uongozi arudi tu kanisani.Hoja hapa sio upadre wala kanisa......!
Hoja ni Phd ndo akili,Ss Huyo Dr Jah kaisomea wapi hiyo?kama sio zawadi tu kama barabara ya ocean kupewa mmarekani.
Hoja hapa sio upadre wala kanisa......!
Hoja ni Phd ndo akili,Ss Huyo Dr Jah kaisomea wapi hiyo?kama sio zawadi tu kama barabara ya ocean kupewa mmarekani.
Mkuu bado itakuchanganya sana mpaka umwache uliyenaye.
Mbona unamtamani sana kila siku unamtaja lakini hapendi wachafu,jitathimini kwanza.Heri yake yeye atapigana na Josephine tu.. wewe Dar hapo angalia usiguse mwanamke yeyote asijekuwa wa mwenyekiti dhaifu yakakukuta yalioikuta familia ya NGUZA..
Mbona huyu ni gold member Mirembe na jumuiya ya machizi duniani inamtambua.Kuna yule mgonjwa anayetibiwa na kigwangala anakale katatizo cha kichwani kama kofia.
Miss angalia usije kupita kwenye anga za Dr Slaa lazima mtazipiga na Josephine.
Heri yake yeye atapigana na Josephine tu.. wewe Dar hapo angalia usiguse mwanamke yeyote asijekuwa wa mwenyekiti dhaifu yakakukuta yalioikuta familia ya NGUZA..
Bora mipasho mkuu kuliko matusi na wazinzi wa kupora wake za watu hii dhambi hamtaikimbia mkuu.Nimeshahama mkuu
CCm na mipasho ya akina chagonja hila na uwongo mfano (mwangosi kauliwa na cdm, mwe picha zakamuumbua chagonja)
CCm na mipasho ya akina mwigulu, msipoichaguwa ccm arusha mtakufa- kweli kesho yake wakafa kwa bomu mwigulu mbio bungeni dodoma akiwa na kihoro)
CCm na mipasho ya akina Mulugo na kawambwa na kikwete (waalimu mkiandamana tutawapiga; walimu watoto watafeli na kweli 90% watoto wamefeli. watoto wa makada wa ccm wanasoma fedha na st francis wa kwetu shule za kata mwe!!)
CCm na mipasho ya akina huseni mwinyi huduma za afya ni bora (ukienda mwananyamala wakinamama wanazalia chini na wamepangana vitandani kama kambale katika bwawa linalokaukiwa maji)
Mkuu nimesha achana na ccm nahitaji mabadiliko, nawewe acha ukada wako kwa ccm watete ndugu zako wanaokufa
huko vijijini kwa kukosa huduma za msingi kutoka serikali ya ccm.
Heri yake yeye atapigana na Josephine tu.. wewe Dar hapo angalia usiguse mwanamke yeyote asijekuwa wa mwenyekiti dhaifu yakakukuta yalioikuta familia ya NGUZA..