Siipendi CHADEMA


Mkuu CHAMVIGA mbona wamekufichia LIKE?!nimecheka sana halafu huyu Dogo anajifanya mjanjaa wakati yuko uchi,yani basi kama sheria za humu zingekuwa zinaruhusu,basi tu wacha aendelee kujificha!
 
Huku Mbowe na Lema wakimlinda muuaji kwa kukataa kumtaja.Mungu ukimaliza kuwasikiliza watoto ebu geukia hawa jamaa.


.....Simiyu yetu (...........) .... ile Damu ya Arusha itakuandama mpaka motoni.....

Arusha ni IBADA usiku na Mchana kwa kila dini kuhakikisha Mungu anasema neno na Neno litatimia.....
 
Stupido too!!!,Dogo mambo vipi?!,we umeshamaliza zile sumu zako?au kwa sababu umezoea kupiga tu 0713?!uwe unapiga na 0754! matumizi yake ni mzuri pia!

stupido you huwezi kuishi bila chadema ,chadema ndio jina la taifa maisha yako yote yanasurround kusema chadema, teja la chadema hilo ha ha uko kwenye cacoon ya chadema kazi kulia lia tu vipi mpenzi wako matata anakuruka viunga
 
Chadema wana wafuasi wengi, wewe mtu mmoja usipo ipenda au kuiunga mkono chadema haita yumba kamwe, kwanza hata chama unacho kipenda hukisaidii kwa lolote ilikiwepo porojo ndio nyiiingi,

Hao wafuasi wengi ni wepi zaidi ya kutumia udhaifu wa wabongo wa kufuata mkumbo, akijitokeza mtu akiwaambia njooni niwaombee mpate utajiri wanamiminika utadhani bongo zao zimekufa ganzi, matokeo yake wanaishia kutoa sadaka na kumtajirisha huyo aliyeahidi kuwaombea (kama mnavyofanya).

Chezeni tu na hisia za watu ipo siku watazinduka sijui mtajificha wapi.
 
Hahahaha. Mkuu siku hizi umeamua kuwa mganga wa kienyeji?

Kama ulivyo wewe kaka zaidi ya kuchanjwa na prof maji marefu m.a.ka.lioni kilichobaki ni kubusu chadema na viongozi wake kila siku Dr slaa,Mbowe ha ha libwata la chadema limekugeuza msukule wa kuamini katika chadema make lazima uamke na chadema ulale na chadema mabo ya chamviga na chadema ni damu damu
 
Lile koti la magogoni kumbe mfalme Mswati naona wanapokezana vijiti...
 
stupido you huwezi kuishi bila chadema ,chadema ndio jina la taifa maisha yako yote yanasurround kusema chadema, teja la chadema hilo ha ha uko kwenye cacoon ya chadema kazi kulia lia tu vipi mpenzi wako matata anakuruka viunga

Hakuna tabu dada yangu tuko pamoja kwenye hiyo Chadomo ambayo maisha yko yote kila siku ni kupiga Chadomo.Stupido you!
 

HATA MIMI NAICHUKUIA SANA CHADEMA KWASABABU ETI INALAZIMISHA SENDOFF YAKE TAYARI KWA NDOA YA MKEKA 2015!
1. Kwanza kabisa haipotayari kuona CCM inaachia madaraka kwa namna yoyote ile. Mifano ipo na kwa uchache ni kule Zanzibar pale ambapo CUF waliungwa mkono na wananchi lakini hawakuwahi ongoza dola ikiwa ni pamoja na kupigwa vilivyo mpaka wengine wakatorokea Mombasa na kilichofuata ni ndoa ya mkeka. Angalieni Zimbabwe pale Morgan aliposhushiwa kipigo vilivyo na baadaye wakajifanya wasuluhishane eti mwingine awe rais na mwingine waziri mkuu, huko mbali mno, Kenya hapo Kibaki alipobwagwa alijitangaza jioni jioni na mambo yalipozidi unga akamkaribisha mpinzani wake Odinga kuwa waziri mkuu. Ni kwa mtindo huo hizi vurugu zote mnazoziona kwa wanaCHADEMA, ni mpango mkakati wa kuandaa ndoa ya mkeka 2015. Sasa hivi nyie CDM mnafanyiwa SENDOFF! Na wananchi wote tutashangilia kuwaona mnapendana na CCM kwa sababu mnawalazimisha kuongea uwongo toka bungeni hadi mitaani. Siku si nyingi mtawalazimisaha kuongea ngonjera za vita ili mpate kufunga nao ndoa.

Naamini mpo makini kwani kwa ufahamu wangu serikali za kimkeka zina tija sana kwa maendeleo ya mabwenyenye. Na pia mnawalazimisha CCM kutanguliza maslahi binafsi kabla ya taifa ndio maana miaka 50 baada ya uhuru, mmeilazimisha serikali ya CCM kuamuru baraza la mitahani “kuRE-SEAT" mamba ambayo tuliyazoea kwa watu vilaza kama kamanda wetu maarufu nepi na mzee mguu chemba na jamii wanayofanana nayo.

2. CDM mnawalazimisha CCM kuwatia hofu wananchi kuthibitisha usemi wao kwamba vyama vingi vinaleta vita kama nyimbo za ma thread (kamanda wetu maarufu kabla ya yule jamaa aliye ondolewa asubuhisubuhi na mtalaamu wa koleo za teeth za yule mnyama mnee) alipokuwa anazunguka miaka ya 90 kutafuta kura ya maoni juu ya vyama vingi. Kwa taarifa yenu ile kura walikusanya makada wa CCM na mahala pengine watu walitoa maoni yao baada ya kutiwa hofu za kijinga za akina ma thread wakishinikizwa na viongozi wa CDM wa wakati huo.

3. CDM wanailazimisha CCM kuleta vurugu mahali popote ambapo huwa na hali mbaya kisiasa ili kuchakachua matokeo au kufuta uchaguzi. Mtakumbuka mwaka 1995 yaliyotokea DSM na mahali pengine pengi wakati wa chaguzi. Juzi limetokea ARS. Nashindwa kuelewa kama kweli hawa watu wana nia ya dhati na taifa letu, kwani nchi nyingi zilizoendelea wameruhusu mawazo tofauti katika michakato yao ya kuongoza na kundeleza mataifa yao. Ni nchi za kiafrika ikiwemo Tanzania zisizojali maendeleo zaidi ya Ubwenyenye, lakini yote haya CCM wanafanya kwa kulazimishwa na CDM.
4. CCM kwa kuhakikisha kuwa hawana usongo sana na serikali za ndoa za mkeka kama kwa Mugabe kule Zimbabwe, wameanza chokochoko kwamba serikali tatu zinazotiliwa upatu na tume ya katiba zisikubaliwe kwani wanajua kabisa ndani ya serikari ya Tanganyika hakuna nafasi ya serikali za ndoa za mkeka, ahaaaaa hii mijitu!
5. Katika kusimamia hilo watakalo CDM, inasadikika CCM wameongeza jumuiya nyingine ndani ya chama chao iitwayo POLICCM, watu waongooooo, sijui ni kweli?

Nawashauri wapenda amani na wenye nia njema na taifa letu kuliona hilo (ndoa ya mkeka 2015 kati ya CDM na CCM, CDM wakiwa nyumba ndogo kama walivyo wenzao CUF sasa hivi) ambalo pamoja na mambo mengine ya kimaslahi binafsi, lipo nyuma ya pazia. CCM wanapenda nyumba ndogo! lakini kwa hili sijui?
 
Mkuu nimekupata. Nadhani umesoma literature kwani kuna kitu kinaitwa irony hii ndo uliyoitumia hapa.safi kuliko kutukana
 
....Mungi huyu Dada Mungu ameanza kumwadhibu....Walichokifanya Arusha kimeanza kuwaandama.....

Ile Damu inawaandama usiku na mchana kwa sasa wanakesha humu jamvini...si ajabu tayari kichwani akili imeanza kusizi...

Kwakuwa kisasi ni cha Mungu mwenyewe, watanzania tunachofanya ni kuzungumza na Mungu ambaye ataamua hatima ya wote waliokusudia kukatisha na kudhulumu maisha ya wazalendo wasio na hatia, na kuwafanya wengine vilema.
 
Utazitoa wapi mkuu huwezi kupanga kumteka mama mtu mzima kama mama zito halafu msipate laana ya mungu.
Hii laana imeshamkumba Nchemba akiona saluni anatoka nduki,jeri katia makazi utosini
 
Huku Mbowe na Lema wakimlinda muuaji kwa kukataa kumtaja.Mungu ukimaliza kuwasikiliza watoto ebu geukia hawa jamaa.

Hivi yule mtoto alietoka madrasa alipigwa risasi na nani.?
 
Mungu siku zote Husimamia ukweli....

Wana sehemu nzuri za kulala ...lakini hawapati usingizi...wakilala wale watoto wanawatokezea kwenye usingizi...

Wanakula vizuri lakini chakula hakishuki....chakula kimegeuka magadi....chezea Mungu wewe!!!

Mtajuta kuua watoto wasio na hatia

Siku zote tuko upande wa Mungu na Chama chetu ni MPANGO WA MUNGU....
 
Mkuu tutaenda kwa hakimu mkazi wa Dodoma atuthbitishie nani ni mpu.mb.avu ujue..!? ohooo..!! na lazima utaibuka wewe...

Teh teh teh!lazima atakata rufaha tu mkuu,we unadhani gambaz kupitia waendesha mashtaka vilaza watakubali ukweli?
 
Kwakuwa kisasi ni cha Mungu mwenyewe, watanzania tunachofanya ni kuzungumza na Mungu ambaye ataamua hatima ya wote waliokusudia kukatisha na kudhulumu maisha ya wazalendo wasio na hatia, na kuwafanya wengine vilema.

Asante sana Mungi ..

Mungu siku zote Husimamia Ukweli
 
fumbo mfumbie mjinga,mjanja huling'amua ng'amuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…