Siipendi CHADEMA

Chadomo wanatumia vibaya tekinolojia ya Soundwaves(sonic technology).baada ya kugundua kuwa wabunge wengi wa chama tawala ni wazee,wanapiga kelele bungeni hadi ngoma za masikio zinavibrate na kupeleka shockwaves hadi moyoni na kwenye ubongo!wamesababisha babu zetu kukosa usingizi bungeni!side effects zake ni pamoja na tabia ya mtu kukurupuka mara kwa mara na kusema ndiooo!wacha wapigwe ban kuingia bungeni.na hamna kuwapa muongozo kabisa.hasa huyu Lissu huyu,anachongaaa!nyambaf kabisa hawa!
 
Wamesema wanaushahidi wa kupeleka kwa majaji mbona hawapeleki,mbona majaji wapo wengi tu wanasubiri nini kupeleka.

Mkuu mbona unaongea kama njegele, wawapelekee majaji ushahidi sokoni kariakoo ama!?
 
Akili za kumezeshwa na Lameck.

Kwani mkuu wewe unalipi la kuwatetea mabwana wako? Kama si kuwa mtumwa wa wanaume wenzako? Elimu usomeshwe na kwashida na wazazi wako halafu pia ajira mpaka uwakitie goti wanaume wenzako? Sema ulidharau ushauri uliopewa na wazazi wako ulichagua Hkl badala ya combination maketable ona sasa umeishia na political science kazi kuzunguka na cm yako ya mchina kwenye mikutano ya wanaume wenzako na kupiga mapicha jioni ukirudi unaishia kudai ugali na mlenda kwa mama huku maingizo sifuri.
 

Kama kaka yangu Wassira analiona jumba chungu, hakuna tena usingizi mle...
 
Akili ndogo ni kudhani mtu mwenye PhD ana akili kuliko watu wasionayo,ama kuamini prof.ana akili kuliko asiye prof.Akili ndogo ni kudhani unajua wakati hujui kwamba hujui.Akili ndogo ni kutembea kwa vile tu una miguu bila kujua uendako kwa vile tu hujawahi kufika huko.Akili ndogo ni kutafsiri na kuamini cheti cha kuhitimu ni bora kuliko matokeo ya ulichohitimu.Akili ndogo ni kuona nyeusi ukiwa umeshikilia mkate halafu ukaiita nyeupe, wenye njaa wakakupigia makofi,hadi ukadhani kuwa hujakosea,na kuwatukana waliokwambia hiyo ni nyeusi kuwa ni vipofu!Akili ndogo ni kuamini kuwa mbwa wa mfalme naye ni mfalme kwa kuwa anakula chakula cha ikulu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 

Uwe mpole tu dada kashfa hazitusaidii hapa. unaongelea combination hapa.. wapi ambako combination ni "marketable"!?? you poor thing. na kama combination ingekuwa inalipa ungekuwa kwenye paylist ya elfu 7 za Lumumba!?? una id zaidi ya sita humu . shame on ME....!!! ha ha ha haaa...!!!
 
......Jinamizi la Arusha litakusumbua sana.....wale watoto wasio na hatia wanaongea na Mungu.....
Huku Mbowe na Lema wakimlinda muuaji kwa kukataa kumtaja.Mungu ukimaliza kuwasikiliza watoto ebu geukia hawa jamaa.

 

Hahaha shame on you mkuu kiukweli manake vijana wakishauriwa wajiajiri wanakimbilia kwenye siasa wakati wakubwa wao wanaendelea kufaidi pesa za m4c huku wapiga picha na watembea na sumu wakilala njaa. Pole bibi yangu nitakuja kuleta barua yangu ya kumposa yule mrembo usijenipiga chini kisa si kamanda feki ni waukweli.
 
Hebu cheki na sa8 akupe sumu kidogo au kilewo km ana tindikali
Chagonja kasema chadema wagumu hawadanganyiki kwa hiyo wataendelea kumtumia Nchemba,ma-RPC katika kutekeleza zoezi la ugaidi tanzania pamoja nakuiandama chadema kwa kumtumia DPP kwani wakichukua nchi 2015 viongozi wengi wa ccm na polis watawekwa ndani..
 

kuudadadaadeki CHADEMA kweli wamelaaniwa! Hivi hawajui kama wale ni sawa na wazee wao!
 
Bahati mbaya kukurupuka na kupost ugwadu bila kuelewa kilichoandikwa

....Mungi huyu Dada Mungu ameanza kumwadhibu....Walichokifanya Arusha kimeanza kuwaandama.....

Ile Damu inawaandama usiku na mchana kwa sasa wanakesha humu jamvini...si ajabu tayari kichwani akili imeanza kusizi...
 


Good presentation skills....kwa anaechukia chadema ataelewa kwa nini anakosea kuichukia chadema....
 
Alikuwa zeruzeru ghafla mzee wa uchukuzi .....!
Mnaumiza mpaka wezenu?

Na wewe umekuwa wa rangu gani kwa sababu yako asili naifahamu baada ya kubabuliwa umekuwaje?,kwa sababu ilikuwa saa 4 tu lakini naambiwa saa 7 hii tayari mtu kababuliwa!au kwa sababu we ni Miss?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…