Siipendi CHADEMA kwa asilimia mia

Siipendi CHADEMA kwa asilimia mia

Makusudically

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2014
Posts
2,215
Reaction score
1,240
Msimamo huu unatokana na tabia ya vionfozi wa chadema kufanya mambo yafuatayo kila kukicha;
1. Viongozi wa cdm kutukana Serikali kila kukicha
2. Viongozi kudai eti ni wakombozi wa Watanzania
3. Viongozi kuwafukuza wanacdm wasiotoka Kaskazini
4. Viongozi wa cdm kuendesha mikutano mingi sana kanda ya ziwa, Kati, Magharibi, na Dsm kana kwamba Kilimanjaro walishaendelea mno na kwamba hakuna matatizo.
5. Chadema kutofanya mikutano jimbo la Vunjo na kulalamikia kasi ndogo ya maendeleo pia hata kutukana Mbunge wa Vunjo.
6. Chadema kulazimisha Sedikali tatu na kutaka kuwachochea Wananchi waandamane kwa faida yao.
7.Cdm kutumia mamilioni ya fedha za ruzuku kwenye kampeni ambazo hazina tija.
8. Chadema kuongozwa na Mbowe asiyekuwa na Elimu yeyote ile.
9. Chadema kuendelea kupanga kwa Mbowe na kutozwa kodi kuuubwa ya pango.
10. Chadema kuwa na wsnachama, wafurukutwa, washabiki wengi wanywa viroba na bangi.
 
Wewe mwehu kabisa kwani usipoipenda unaipunguzia nini wewe kilaza baki na chama chako cha MAJAMBAZI,kinacho minya uhuru wa mawazo na kung'ang'ania madaraka,kwanza wananchi wameshawajua vyakutosha jinsi mnavyowafanya kuwa wajinga,viongozi wenu kama wanatupeleka kusiko lazima tuwaseme hata kwakuwatukana hata wewe ------ tu na kubwa jinga na wewe inaonesha upeo wako mdogo kama maviongozi yako na ndo maana unapost ujinga wako shenzi mkuma wewe.ikome chadema ni chama cha ukombozi.
 
Mkuu mbona maneno yanakutoka?
 
Wewe upeo wako umeishia kwa mme wenu jmk,huna jipya unafikiri kwa kutumia makario na wala si kichwa ndo maana hata mle bungeni hamuwezi kujenga hoja mnabaki kupiga makofi tu,shame on you,
 
Dahh wewe utakuwa na matatizo sio bure, sasa unataka usaidiwe nini baada ya kusema hivo!! Haya andika tena kuwa unaipenda CCM kwa asilimia 100 ili roho yako iridhike! Hizi siasa za kujifundishia kwenye magazeti zina tupa shida sana
 
CDM haiwezi kupendwa na wachumia tumbo kama wewe kwa sababu hailipi buk 7 kama lumumba fc!
 
Tukianza kutaja vyama na kuorodhesha sababu za kutovipenda hapa.JF Server haitatosha. Hongera kwa kusema ya kwako. Lakini,waache wanaoipenda waipende na wewe endelea kupenda magambani kwako. Ya CHADEMA hayakuhusu
 
Yatakuwa maajabu kama kila mtanzania akipenda Chadema.... Ni lazima tutofautiane na kama kutofautiana huku ndo kunatufanya binadamu kuwa binadamu na dunia kuwa dunia. Hebu pata picha kama watu wote tungekuwa na fikra moja...
 
wewe kilaza wa CCM,viongozi wenu wanao waongoza hawana lolote kielimu i.e lukuma,wasira na wazi wa matusi na kukwapuji wa pesa za watanzania nchemba,lusinde mbunge wa mtera,makaroti,ndugai,makinda hata wale wanajiita maprofesa hawana lolote.kuwa profesa then uko ccm ni sawa na mtu mwenye elimu ya drs la saba,maana kule huwa akili yote inahama.
 
Ni kweli mkuu,kuwa ccm ni majanga,akili yote unakabidhi lumumba na kukalilishwa upuuzi!
 
Msimamo huu unatokana na tabia ya vionfozi wa chadema kufanya mambo yafuatayo kila kukicha;
1. Viongozi wa cdm kutukana Serikali kila kukicha
2. Viongozi kudai eti ni wakombozi wa Watanzania
3. Viongozi kuwafukuza wanacdm wasiotoka Kaskazini
4. Viongozi wa cdm kuendesha mikutano mingi sana kanda ya ziwa, Kati, Magharibi, na Dsm kana kwamba Kilimanjaro walishaendelea mno na kwamba hakuna matatizo.
5. Chadema kutofanya mikutano jimbo la Vunjo na kulalamikia kasi ndogo ya maendeleo pia hata kutukana Mbunge wa Vunjo.
6. Chadema kulazimisha Sedikali tatu na kutaka kuwachochea Wananchi waandamane kwa faida yao.
7.Cdm kutumia mamilioni ya fedha za ruzuku kwenye kampeni ambazo hazina tija.
8. Chadema kuongozwa na Mbowe asiyekuwa na Elimu yeyote ile.
9. Chadema kuendelea kupanga kwa Mbowe na kutozwa kodi kuuubwa ya pango.
10. Chadema kuwa na wsnachama, wafurukutwa, washabiki wengi wanywa viroba na bangi.

Umeulizwa?
 
Wewe mwehu kabisa kwani usipoipenda unaipunguzia nini wewe kilaza baki na chama chako cha MAJAMBAZI,kinacho minya uhuru wa mawazo na kung'ang'ania madaraka,kwanza wananchi wameshawajua vyakutosha jinsi mnavyowafanya kuwa wajinga,viongozi wenu kama wanatupeleka kusiko lazima tuwaseme hata kwakuwatukana hata wewe ------ tu na kubwa jinga na wewe inaonesha upeo wako mdogo kama maviongozi yako na ndo maana unapost ujinga wako shenzi mkuma wewe.ikome chadema ni chama cha ukombozi.
Huyu anatuwakilisha mamilioni ya watanzania.
 
Mtu anayeshabikia CHADEMA mara nyingi upstairs hayuko vizuri.....
 
Back
Top Bottom