Signature kwene screen ya simu

suluta

Senior Member
Dec 22, 2016
115
40
Jamani Naombeni msaada kwene hili.
Nataka kuscan document ila nataka kitumia ile program wanayotumia watu wa mitandao ya simu kusajili laini ambayo huwa tunasaini kwene screen ya simu.
Kama kuna mtu anaijua ansaidie wadau
 
tumia software yoyote ya note taking kama vile onenote utaeka sahihi yako.

DmRJiSc.jpg
 
So nimeenda but where ambako signature inawekwa baada ya kukamilisha task fulani
angalia hio picha yangu hapo juu, ninechagua kalamu, hio app unaweza chagua kuandika kawaida au kuandika kwa kutumia kalamu,

andika ukishafika mahala unataka kueka sign change input iwe kalamu, kuna kialama cha kalamu juu kabisa hapo kibonyeze
 
Asante ILA ninapata option mbalimbali za uandishi Ila hii ya kikalamu siipati
 
Back
Top Bottom