Sign in failed your password changed error

124 Ali

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
7,802
5,494
Habari wakuu.hivi karibuni email yangu ya outlook on my android inaniletea error hiyo hapo .nakuwa siwezi ku access chochote tena ina kuja kila baada ya 15 au 30 minutes.
Kwenye pc same account works fine nikajaribu kuitoa na kui configure upya ndio balaa nikianza tu pale kufeed zile details za incoming mail serve inaleta error authentication failed or something of that magnitude.
wakuu naombeni msaada weni
 
Back
Top Bottom