FULL NAME: Kambaku Kiboko
NICK NAME:KK
LOVER:Binamu yangu
FRIEND/S:'Rashani Rolete' Sakapal na wengine
HOBBIES:Kula, Kunywa Chivas, Kupanda farasi na JF
LIKE:kulala
DISLIKE:Binamu anavyonisumbua
WISH/ES:Kuwa Prime minister TZ
BEST FOOD:nyanya chungu
BEST SHOES:Cha cha cha
BEST WEAR/OUTFIT:safari suti mikono mifupi
BEST ACTOR:James Bond
BEST ACTRESS:sina
BEST MOVIE:
BEST COLOR:White
BEST EMPLOYER:Halmashauri ya wilaya Misungwi
BEST HOTEL:bahari Beach
BEST DATE:1st August
Habari zenu MMU!! I salute you all,
Natarajia kusafiri early May na huko ntakakokuwa nitakuwa naingia jf lwa nadra sana kwa kipindi cha miezi 2 hadi nirudi late July, 2013. Hivyo basi kwakuwa ntawamiss members wa humu naomba mnijazie autograph yangu nami ntaprint na ntakuwa nazisoma nikiwakumbuka. Sio lazima ila ntafurahi na ntashukuru kunijazia.
Si lazima kujaza yote mengine waweza acha wazi mengine waweza ongeza ambayo sikuweza. Thanks and mei mosi njema kwa wafanyakazi/waajiriwa.
Nashukuru sana kwa kunijazia auto yangu. Pamoja sana.
Ever remaining, sakapal.
NB: kama hupendi acha wengine wanijazie pls.
Jazeni kwanza nitakopy na kupesti.
FULL NAME: BAK
NICK NAME: :typing:
LOVER: Beautiful lady
FRIEND/S: Many friends
HOBBIES: Dancing, Travelling, Movies, reading
LIKE: I like so many things on this planet
DISLIKE: Haters
WISH/ES: To stay healthy and be happy
BEST FOOD: Ugali, samaki wa kukaanga na mboga ya majani chukuchuku au iliyoungwa nazi
BEST PERFUME: Terre D'Hermes
BEST SHOES:Elation shoes
BEST WEAR/OUTFIT: Suit
BEST ACTOR: Denzel Washington
BEST ACTRESS: Julia Roberts
BEST MOVIE: Pretty Woman
BEST COLOR: Blue
BEST EMPLOYER: Current Employer
BEST HOTEL: Four Seasons Resort Mauritius at Anahita
BEST DATE: December 31st each year
BEST SONG: Sexy thing
FULL NAME: moto2012
NICK NAME: Mbefuka
LOVER: Preta
FRIEND/S: @ wiyelele, Bujibuji, Ngalikihinja Kipipi, MziziMkavu
HOBBIES: Preta
LIKE: Preta
DISLIKE: picha za Mtambuzi
WISH/ES: Mapenzi moto moto kutoka kwa Preta for life
BEST FOOD: Ngowani, mawungu, hopa, mberere
BEST SHOES: makatambuga/makubasi
BEST WEAR/OUTFIT: kikwinda
BEST ACTOR: moto2012
BEST ACTRESS: Preta
BEST MOVIE: nyakato junior & BUCHANAGANDE
BEST COLOR: white
BEST EMPLOYER: Pretamanga & sons Ltd
BEST HOTEL: PRETAMANGA INN
BEST DATE: 30 June
FULL NAME:
Bujibuji
NICK NAME: Mwigulu Nchemba
LOVER: cacico
FRIEND/S: watu8,
Boflo, Zion Daughter,
Mamndenyi, Mwita
Maranya, mwaJ, Madame
B, UKItaka ubaya
HOBBIES: JF
LIKE: Jokes
DISLIKE: Hatred
WISH/ES: To be a Pastor
BEST FOOD: Vibama, mabumunda, bagia za bibi kokoso, numbu, migagi na
kabunguja
BEST SHOES: Raba mtoni
BEST WEAR/OUTFIT: Rain coat huwa navaaga hata kipindi cha jua kali
BEST ACTOR: Mtambuzi
BEST ACTRESS: Madame B
BEST MOVIE: Ile sinema aliyotokea jamaa na upanga akamkata mwenzake
,akafa, halafu sinema ikaisha hapohapo
BEST COLOR: Colourless
BEST EMPLOYER: My sugar mummy
BEST HOTEL: Mwiboma
BEST DATE: Kilisimasi na pasaka tule pilau na soda