Huyu mwanasiasa anayeitwa Sifuna ni nani?

Honest K

Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
24
Reaction score
14
Habari ndugu zangu,

Nimekua mfuasi wa siasa za Majirani Kenya

I wish to know deeply who is politician someone Sifuna??

What's so special about him
 
Zile siasa namna ile inapendeza sana zinaleta amsha amsha ya maendeleo na kuheshimiana baina ya watawala na raia.
Kwakweli wana sema bila woga na inawajenga hata watawaliwa kujua porojo iko wapi na kwanini hili linatokea au kwanini hili halitokei.
 
Unazungumzia hapa kwetu Tanzania? Hakuna uhuru huo siasa zetu zinatawala ndani ya nafsi na mioyo yetu sio wazi wazi
 
Nafikiri kuna mahala tunatakiwa tujifunze haya mambo ya kiuongozi kuyaweka wazi, kuna tume flani huko Kenya hua naiona mtu anakwenda Bungeni anahojiwa wazi wazi mnaona kila kitu na jamaa mmoja wakili huwa anamaswali sana.
Unakuta mtu anaulizwa utajiri wake aliko upata na una thamani gani mambo yanasonga vizuri kabisa kisheria na uwazi.
 
Uhuru huo na uwazi huo ukiona siku umefikia Tanzania basi elewa kwamba Yesu kasharudi.
 
Habari ndugu zangu,

Nimekua mfuasi wa siasa za Majirani Kenya

I wish to know deeply who is politician someone Sifuna??

What's so special about him
Anaitwa Edwin Sifuna ni seneta machachari wa kaunti ya Nairobi kupitia chama kikuu cha upinzani Kenya yaani ODM kilichoasisiwa na Raila Odinga.

Amekua maarufu siku za karibuni baada ya kuvuliwa cheo cha katibu mkuu wa chama cha ODM. Ni kiongozi kijana mjasiri na mwenye maarifa kwelikweli.

Kitaaluma ni wakili na ni mwenyeji wa magharibi ya Kenya kutokea kabila la pili kwa ukubwa Kenya yaani Luhya
 
Huyu jamaa ni matata kwakweli, swali ni kwanini walimvua cheo cha ukatibu mkuu?
 
Hao jamaa wana mgogoro kuhusu uchaguz mkuu 2027

Ikumbukwe marehemu BABA ( JUWI) aliingia ushirikiano na RUTO katika serikal na kuifanya odm kupata viti vya baraza la mawaziri mfano bwana 001 kutokamombasa n mmoja wa member wa odm aliyepata nafas ya uwazir wq mambo ya kawi na madin

Sasa baada ya kifo cha baba msuguano umeanza hasa wabunge vijana kama sifuna babubowino mzee wa (TIBIM) wanataka watoke katika muungano wa serikal ili wajipange kwa uchaguz ujao maana umebak mwaka 1 tu

Sasa ruto kupitia mwenyekiti wa ODM ambaye n mdogo wa baba dr OBURU wanataka kibak katika ushirika na watamuunga ruto hvyo kiti cha NAIBU RAIS kitakuwa chini ya ODM sasa vijana wa odm wanataka wapate mgombea kamili wa urais

Ndiyo maana bwana sifuna wamemtema katika chama anaonekana anataka kubomoa chama
 
Baada ya Odinga kufa ODM nayo inaenda kugawanyika vipande viwili. UDA ya Ruto wanataka kutake advantage kuipasua maana so far ndio mpinzani mkuu. Kuna ODM wanataka kushirikiana na serikali wengine hawataki wabaki na misimamo ya upinzani wakiamini wana uwezo wa kumtoa Ruto.
 
Alifukuzwa sababu alipinga ODM kumuunga mkono Rais William Ruto wa chama cha UDA kwenye uchaguzi wa mwaka 2027.

Yeye anataka ODM isimame yenyewe kama yenyewe na kufanya maamuzi ya muungano upi waingie pale tu uchaguzi ukikaribia na sio sasa.

Huyu anaungwa mkono na Gen z wengi hata binti ya Odinga yupo upande wake. So inaweza leta mpasuko mkubwa sana na pengine chama kikasambaratika baada ya uchaguzi wa mwaka kesho.
 
Hao jamaa wana mgogoro kuhusu uchaguz mkuu 2027

Ikumbukwe marehemu BABA ( JUWI) aliingia ushirikiano na RUTO katika serikal na kuifanya odm kupata viti vya baraza la mawaziri mfano bwana 001 kutokamombasa n mmoja wa member wa odm aliyepata nafas ya uwazir wq mambo ya kawi na madin

Sasa baada ya kifo cha baba msuguano umeanza hasa wabunge vijana kama sifuna babubowino mzee wa (TIBIM) wanataka watoke katika muungano wa serikal ili wajipange kwa uchaguz ujao maana umebak mwaka 1 tu

Sasa ruto kupitia mwenyekiti wa ODM ambaye n mdogo wa baba dr OBURU wanataka kibak katika ushirika na watamuunga ruto hvyo kiti cha NAIBU RAIS kitakuwa chini ya ODM sasa vijana wa odm wanataka wapate mgombea kamili wa urais

Ndiyo maana bwana sifuna wamemtema katika chama anaonekana anataka kubomoa chama
Sawasawa, ndio maana hivi sasa baada ya kupata support ya VIJANA WA KENYA (majirani zetu) amekuwa mwiba sana.
But kwenye hilo la kutaka kusimamisha mgombea wako sahihi hawapaswi kuendelea kuwa lesso ya kina RUTO wakishafanya mambo yao ya hovyo.
Awakamatie hivyo hivyo E.Sifuna yuko na energy ya KUTOSHA🙌
 
Baada ya Odinga kufa ODM nayo inaenda kugawanyika vipande viwili. UDA ya Ruto wanataka kutake advantage kuipasua maana so far ndio mpinzani mkuu. Kuna ODM wanataka kushirikiana na serikali wengine hawataki wabaki na misimamo ya upinzani wakiamini wana uwezo wa kumtoa Ruto.
Naamini wale ndugu zake Mzee Baba hayati Odinga kwasasa wamekaa KIDALALI sana na Msomi Sifuna kawashtukia mapema na vijana wa sasa WEPESI kuelewa mambo wataachiwa na NCCR AMA CUF mtaji ni watu.
 
Back
Top Bottom