Sifuatilii sana Siasa lakini hapa ninajiuliza....

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,638
4,522
Vurugu zote za huyu Muungwana katika kutafuta umaarufu kuzidi ule alio nao na kuwa kwenye vyombo vya habari kila uchao ni za nini..??


4.jpg
 
Hahaha..unaweza kudhani ni Swaziland mkuu, ninachojiuliza walienda kupata baraka(kulingana na thread moja humu JF) kwa mh. EL kama nani?..and above all why now?

-Kwasababu ukisema kama aliyekuwa waziri mkuu "mstaafu", tunao wengi!
-Kama mbunge(imeanza lini) hii tabia(ku_incorporate siasa na sanaa)?? then ningeelewa kamani wa Jimbo lake tu!

-Kama Mjumbe aliyepita wa NEC, ...nakosa majibu!!
 
Hahaha..unaweza kudhani ni Swaziland mkuu, ninachojiuliza walienda kupata baraka(kulingana na thread moja humu JF) kwa mh. EL kama nani?..and above all why now?

-Kwasababu ukisema kama aliyekuwa waziri mkuu mstaafu, tunao wengi!
-Kama mbunge(imeanza lini) hii tabia(ku_incorporate siasa na sanaa)?? then ningeelewa kamani wa Jimbo lake tu!

-Kama Mjumbe aliyepita wa NEC, ...nakosa majibu!!


Tuko pamoja sana mkuu,nimejiuliza maswali mengi sana na nimekosa jibu hata moja,na swali ninalojiuliza zaidi,ni kwanini wamtembelee yeye wakati huu.?Au ni utaratibu waliojiwekea wa kila mwaka kumtembelea waziri mkuu aliyestaafu..??
 
you mean..................??

I often think about that quotation. It may sound easy to shrug off, but not
if you look a little deeper. It doesn't just mean show up for job interviews or
to work for an 80% increase in success. Showing up also means
starting.


For instance, did you show up at the gym today? Just showing up means you're
80% of the way to a good workout. The hard part of fighting yourself to get
dressed in workout gear, dealing with traffic and the worry about pain you might
experience is over. Now all that is left is to just do the workout. Pretty
simple huh? Even a child could do it.


Same thing with opportunity. It's easier to make significant progress on a
project if you simply show up to do it. Candidly, one of my hardest tasks of
the day is "showing up" for development Visual Studio. It seems simple
enough..just double click on an icon. But if I think too much about about the
seemingly 10,000 things I have to do once I launch it, I am much more likely to
"accidentally" launch my web browser or fiddle with e-mail.


But once I'm in there, the work is typically easy and fun. Some days I can
knock out more tasks than I planned. And I feel like a success at the end of
the day.


You can be or do whatever you want just by showing up. If you want to be an
author, show up to write your manuscript every day, show up to writing classes,
show up to phone calls to editors. Doesn't it make sense that someone who
arrives at the door of opportunity has more success than someone just sitting at
home?


So increase your chances by 80%. Show Up!
 
Usipokuwa tayari kuliwa kidogo huli................................!. JK wa Bwagamoyo!.
 
mkuu samahani naomba usitumie hili neno kustaafu wache watumie TBCCM, maana ya hili neno haliwezi likatumika kwa EL, sema kwa wachakachuaji sawa


Nashukuru mkuu,nami nimetumia neno hilo sababu ndivyo wengi wanavyolazimisha atambulike, lakini binafsi ninavyomuelewa huyu ni waziri mkuu aliyelazimika kujiudhuru wadhifa wake baada ya Serikali kukumbwa na kashfa ya Richmond..Na jambo hili lilijitokeza baada ya yeye kuwa ofisini kwa takriban mwaka mmoja tu..
 
Back
Top Bottom