sifanyi mapenzi mpaka ndoa

sifanyi mapenzi mpaka ndoa

Hapana, dhambi ni pale utakapoacha kuoa lakini unazini. Imagine una hicho kisisimizi, kweli utazini? Itakubidi ukae tu. na ili usijiaibishe na kujidhalilisha, bora ubaki bila kufikiria kuzini.
nasikia inafanyakazi lakini
 
Huyo mwanaume atakuwa na makusudi sana aisee!! Sasa kwanini aoe!!!!
 
Ni bora usioe kabisa maana utakuwa mtumwa wa ndoa, utanyanyasika na utakuwa mnyonge siku zote. Sio lazima watu wote waoe. Unaweza kuishi maisha yako ya furaha na amani bila kuoa.
Kwakweli.
 
Back
Top Bottom