sifanyi mapenzi mpaka ndoa

sifanyi mapenzi mpaka ndoa

ragin

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
7,391
Reaction score
9,378
kuna watu wanamisimamo ya dini ili kuepuka radhi lakini mitihani yake huwa mikubwa sana baada ya ndoa nakuanza kuvuana nguo.
 
Attachments

  • IMG_20170614_152334.JPG
    IMG_20170614_152334.JPG
    12.3 KB · Views: 60
kuna watu wanamisimamo ya dini ili kuepuka radhi lakini mitihani yake huwa mikubwa sana baada ya ndoa nakuanza kuvuana nguo.
Kama atashindwa kudo hapo hakuna ndoa. Inakubalika maana ndoa inakuwa ndoa ikiwepo penetration ya dushe katika K kama hakuna ni batili
 
Kama atashindwa kudo hapo hakuna ndoa. Inakubalika maana ndoa inakuwa ndoa ikiwepo penetration ya dushe katika K kama hakuna ni batili
mkuu unaongea wew ndoa hasa za kikristo haziwi kiholela umefunga umefunga tayari.
 
mkuu unaongea wew ndoa hasa za kikristo haziwi kiholela umefunga umefunga tayari.
Chunguza ndoa za kikristo zipo wazi kuna kitu kinaitwa consummation of the marriage tafuta katika dictionary mkuu
 
Tena ndoa yenyewe na kamanda wa chama daah inanoga kweli
18949842_693757474142805_3264819544673222656_n.jpg
 
Back
Top Bottom