dadavua zaidi unafananisha nini sura ama tabia?Huyu hapo juu wakati Tiger Woods alipopata scandal ya sexual relationship na wanawake tofauti, alilalamika kuwa kwanini hakulala na mwanamke mweusi, sasa fidia na faini anayolipa yote inatajirisha wazungu.