Sifahamu mimi ni nani



Mkuu Pharao pole sana kwa hiki ulichokigundua,ila cha msingi unapaswa kuwa hivi ulivyo sasa.Unapaswa kuwa na shukrani kubwa sana kwa huyu baba aliyekulea,huyo ndiyo baba yako.siyo lazima uionyeshe familia yako uliyonayo sasa kuwa umeshagundua kuwa wewe siyo mmoja wao.Kilioishatokea kimetokea,acha maisha yawe hivyo.

Pili kama utapenda kumjua baba yako wa damu nashauri umtafute kimya kimya kama atapatikana basi mkaongee nae huko huko kimya kimya na yaishie huko huko kimya kimya.Itakuwa ni dharau sana na kumvunja moyo baba yako mlezi kama akijua kuhusu hilo.

Mwisho kabisa ukiwa kama askari,hebu jaribu kupima uzito wa haya mambo,hivi unapungukiwa nini usipokuwa mchaga au ukiwa mchaga.katika uhalisia ukabila ni suala la feelings tu na alikuongezei wala kupunguza chochote.

jiongeze kamanda
 
Curiosity ....... Cat.
I'm not just curious I'm also determined to know the truth so dying to me is just an option not an accident

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Asante ndugu, Cents received!

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Pharaoh, what if you find out that your biological father is a haya or whatever, what will you do?
Remember you were raised as a chaga one and you almost got everything.
What do you think will happen to your children and grandchildren if you rise them as chagas that also happened to you?
 
Nothing just curious to know the truth, by the way i don't hate anything about the chaggas I'll kinda be hating myself because I'm everything, absolutely everything about them,whenever i mention my name or wear my name target at work normally everyone thinks that I'm from Kilimanjaro, sometimes my fellow military staffs even call me mangi and i don't have an option than accepting it because if I react i will be obliged to tell everyone my story something which i can hardly do

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Hata mimi huyu mama yangu Madonna yeye mzungu. Mimi mweusi sijui nilizaliwa gereji oil chafu ikanimwagikia au kwa muuza mkaa. Lakini nakula good time ningelelewa na baba mgogo si ningekuwa omba omba tu.[emoji111]



Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app
 

One member posted that
Curiosity...... the cat
........ says killed
Ila sawa japo kwa ushauri wangu stop stress yourself and focus on what you can do or provide for your family. The best family is what you have right now en not the one you're trying to get/find
 
Thanks KANA i wish this could be the first advice that i have seen so far, you are heaven sent brother
BRAVO

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Peace man!

- KANA -
 
Umenena vema sana...na umenigusa na haya maneno..
 
Wewe kijana achana na mawazo yasiyo na tija yanayokuletea uchungu bila sababu, huyo baba aliekuchukua ni Mungu kamuongoza maana huwezi jus hatima yako ingeishia wapi na Mungu aliona mnavyoangamia ndio akamleta huyo baba ili mpone, sasa ukitaka kuishia kwenye laana endelea kupepesa macho kutaka kujua vitu visivyokupa Furaha wala amani
 
Thank you

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana mkuu. Fanya kila linalowezekana kujua ukweli kuhusu baba yako mzazi. Ni muhimu sana kujua ukweli huo ili uwe na true identity.

Mamaako anaweza akaleta kipingamizi kutokana na hasira za kutotunzwa na baba yako halisi lakini hilo halimpi haki ya kukunyima kujua ukweli.

Pesa hainunui mtu.
 
Hakumjali vipi wakati alikwenda kwa ajili ya wanawe akaishia kupigwa!!! ????
 
Mi nadhani ushukuru Mungu kupata baba wa kukulea mpaka umekuwa mtu mzima. Ni sahihi kumjua baba yako halisi kipindi hiki umekua. Hayo majina unayotumia na kabila ni vitu vidogo sana. Endelea na jina hilo hilo na watoto wako uwaendeleze kwa jina hilo hilo.. Lakini ni vizuri ukafahamu origin yako.

Sent from my SIEMENS C25 using JamiiForums mobile app
 
Jitambue kaka muheshimu baba yako huyo unayeishi nae hivi binadamu mkoje looooh be calm.

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Hicho kibabu ni kimbea sana tena kichonganishi
Kinaweza hata kuwa kichawi kwa nini kisingekuambia kila kitu!!!??


Mleta mada nimemjua my biological father nikiwa first year pale UDOM HE IS A USELESS MAN.. UKIMTAFUTA AFU UKAKUTA NDIO HUYU BABA YANGU UTALIA WAKATI UNA WATOTO...

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…