Education Mentor
JF-Expert Member
- Oct 26, 2016
- 395
- 695
Ok you can't now what do you intend to achieve anyway.Utaishia kuwa kama huyo aliyekuzaa utashindwa kulipa fadhila kwa huyo mlezi wako na utakwaruzana sana na mama yako.Take it from me ubaba ni zaidi ya kutia mimba.Hiyo DNA ya asili inakuwinda na itakuharibia but you can do whatever pleases ur heart.It has just came out of a blue, i never thought i would bump with such kind of information before, now that everything is set before me, i can hardly pretend like i know nothing and stay muted, i just can't
It's okay then, i know we cannot use what we don't have.. May be this is the only advice that you could offer. Thanks anywayHaya, anzisha ukoo wako.
Sure u lucky, take it or leave it as Long as neno langu si sheria.
But, unachotaka kukijua ndio ujinga uliomo moyoni mwako, eti unataka ujijue kabila [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]what the hell a bout kabila? Wangapi tunajua kabila letu lakini halija saidia in any way katika maisha.
Anzisha kabila lako kama unajihisi hautendewi haki.
Lakini ni upuuzi...
Okay Moshi thumb upMen now that you have hints about your real father the thoughts of meeting him will not evaporate. The best thing to do is to find the old man secretly and meet him and his relatives thus getting to know your roots. Second do not divulge anything to your brother or else you will cause a great tumult that you wont be able to control. And lastly to the man who raised you as his own and never ever segregate you cozy you ain't his never let him know that you know that he isn't your real father.
The oldman is my guardian and a father to my Young brother and sister, i can not thank him enough to repay him for what he has done so far, than respecting him us our parent, but as a thank giving i also have a plan to adopt a child who i can support academically until they reach the same level that i have reached ( university) and i hope God will help meShukrani yako ni ipi kwa huyo unayemuita OLDMAN?
young man, pls think by reasoning...
Mwisho wa siku the Driver is nothing to you, he is just a sperm donor.
Kwani tambiko hufanywa mtu akiwa na tatizo gani mkuu?Unless unataka kutambika, lakini kama sivyo ukoo wala kabila will add nothing to you....!
we naeeee hebu relax!Kwani tambiko hufanywa mtu akiwa na tatizo gani mkuu?
Kuna njia nyingine mbadala ya kutatua hilo tatizo ukiachana na tambiko?
Kama ipo ni ipi? Kama haipo natakiwa nifanye nini?
If there's a problem, it must be Solved i think though i'm not into these kind of traditional rituals but there's always a time to turn tables when necessary
But God,like father like son! Nani anajua tabia ya mama yako huko nyuma?nakuunga mkono kiongozi yawezekana hata mama hajui baba ni yupi amekaza kumuuliza tu show me my dad,wakati hamjui.Badala ushukuru una huyo aliyepo eti anataka kujua zaidi michepuko ya mama.Aah akili ni nywele bana.we naeeee hebu relax!
kwani unaonaje ukikuta hata huyo baba unayeambiwa ni babako akawa sio babako ?
utaendelea kutafuta!
WALA HUTAONGEZA SCHOCHOTE KWA KUMJUA HUYO UNAYEAMINISHWA NI BABAKO!
WAT IF HATA HUYO BABU ANAKUDANGANYA?
ona unavoanza kumwita huyo babako huyu mzee!
means unaanza kuondoa partenity yake!
kweli?
KWA YOTE ALIYOKUTENDEA AKIJUA WAZI NYIE SIO WANAE?
UNAJUA ALIKUKUTA KWENYE HALI GANI?
UNAJUA HATA HIKI KIINGLISH UNAANDIKA HAPA THISS POPA THIS WAT NI huyu baba ndo amekuwezesha?
WANADAMU TUNATAKA NINI YARRABI??
wenzio wapo wenye baba zao na wana uwezo hawakufikishwa hpo mlipofikishwa nyie!
baba asokujua wala usomjua leo ukiletewa unataka umchanje ndui?
halafu unadhani mamako anabaki kwenye nafasi gani?
kweli after all the things mmefanyiwa pamoja na kupewa baba mlipokosa baba,this ndio umeona sahihi kuanza kufeel like tht towards that baba,?
hebu fikiria tena!
FIKIRIA NA USEME NA MOYO WAKO KABISA KABISA!
UTAPOTEZA KILA KITU(SIMAANISHI MALI)
UTAPOTEZA KILA KITU AFTER HUKU UNAKOELEKEA!
na nikwambie tu!
U WILL EVENTUALLY LOOSE A FATHER WHILE YOU WILL BE SEARCHING FOR A FATHER WHO WILL BE LOST ANYWAY!
so JIANDAE KUPOTEZA BABA WAWILI!