C.Thady
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 589
- 155
Habari zenu sana JF,
Kunahizi sifa aisee nashindwaga kuzielewa nianze na wadada
1:WANAWAKE/KINADADA
Unakuta bi mdada anajisifia eti ooh black beauty wakati jamaa wake anachepuka na demu mweupe. Eti oooh Mimi model wakat jamaa anatoka na midada yenye mishape balaa. Eti ooh jamaa hapa kwangu kafika kumbe jamaa anakutafutia tu sababu ya kukuacha huko alipo nk.
2.WANAUME/WAKAKA
tusiwe tunajisifia eti ooh msichana wangu hapa kapenda kifua hatoki kumbe huko nje anachepuka na kijamaa kembamba balaa Mara oooh dem kapenda kitambi kumbe huko nje anatoka na jamaa mbeba chuma. Mara ooh msichana kapenda swagga kumbe uwiii hata hana interest na swagger zako. nk
NB: Tusiwe na isifa za kijinga siku ukiachika ndio utajifunza