Sifa zinaponza

mhuri25

JF-Expert Member
Sep 3, 2016
1,771
2,000
Ebwanaeeeh Wakuu juzi hapa tukiwa ndani ya Usafiri Wa UMMA Jamaa mmoja mtanashati na anaonekana mambo safi kidogo akiwa ndani ya gari akawa anajifanya anajua kila kitu ilmradi tu apate sifa baada ya muda kidogo Mara Simu yake ikaita jamaa kwa kupenda Sifa tu kama kawaida yake si akaweka loud speaker ili kila mtu ajue anaongea na mke wake...
Mazungumzo yao yalikuwa mafupi kama ifuatavyo...

Jamaa; Baby vp Mara hii tu umeshanimiss!!

Mke Wa jamaa; Wala hata sijakumiss nilikuwa nauliza (kwa ukali kidogo) kwann umevaa Chupi ya mtoto...Daaah yaani tulicheka gari zima mpaka Dereva akasimamisha tucheke tu kwanza!!!!
 
Poise

JF-Expert Member
May 31, 2016
7,578
2,000
Haaaa haaaa haaaaaa

Aiseeeeh, Duuuuuuh.

Nitarudi tena kusoma comments.
 
Jumaaofficial

JF-Expert Member
Oct 12, 2017
255
250
Ebwanaeeeh Wakuu juzi hapa tukiwa ndani ya Usafiri Wa UMMA Jamaa mmoja mtanashati na anaonekana mambo safi kidogo akiwa ndani ya gari akawa anajifanya anajua kila kitu ilmradi tu apate sifa baada ya muda kidogo Mara Simu yake ikaita jamaa kwa kupenda Sifa tu kama kawaida yake si akaweka loud speaker ili kila mtu ajue anaongea na mke wake...
Mazungumzo yao yalikuwa mafupi kama ifuatavyo...

Jamaa; Baby vp Mara hii tu umeshanimiss!!

Mke Wa jamaa; Wala hata sijakumiss nilikuwa nauliza (kwa ukali kidogo) kwann umevaa Chupi ya mtoto...Daaah yaani tulicheka gari zima mpaka Dereva akasimamisha tucheke tu kwanza!!!!
900 itapendeza
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom